If you are not sure if the website you would like to visit is secure, you can verify it here. Enter the website address of the page and see parts of its content and the thumbnail images on this site. None (if any) dangerous scripts on the referenced page will be executed. Additionally, if the selected site contains subpages, you can verify it (review) in batches containing 5 pages.
favicon.ico: www.chahali.com/?m=1 - Kulikoni Ughaibuni .

site address: www.chahali.com/?m=1 redirected to: www.chahali.com/?m=1

site title: Kulikoni Ughaibuni

Our opinion (on Friday 29 March 2024 0:38:06 GMT):

GREEN status (no comments) - no comments
After content analysis of this website we propose the following hashtags:


Hashtags existing on this website:



Proceed to the page?Powered by: Very Tiny URL Shortener at http://vturl.net VeryTinyURL

Meta tags:

Headings (most frequently used words):

2017, jpm, raia, ya, 17, mwema, apr, makala, yangu, la, 10, 05, may, 20, na, 04, mkuu, 25, kumsapoti, zitto, wizara, wa, kumteua, ukatibu, kitila, prof, utulivu, tathmini, mashakani, ipo, tz, kulikoni, mar, nape, pages, archive, blog, categories, nk, ubabe, kumfukuza, kutoka, bashite, kumlea, hadi, whatwouldmagufulido, haya, za, zama, hali, maswali, matukio, kitaifa, wafanyakazi, kutimua, kuhusu, uchambuzi, 03, misiba, 000, katika, kutoonekana, rais, sahihi, si, 11, takriban, magufuli, kwa, maombolezo, 12, 13, mchungu, ukweli, magumu, ughaibuni, wanane, ameshiwa, polisi, mauaji, 15, majipu, kutumbua, pumzi, podcast,

Text of the page (most frequently used words):
kwa (173), kuwa (76), katika (70), #polisi (63), #rais (62), #kama (54), #magufuli (54), cha (46), #kwenye (41), #lakini (39), #hiyo (37), sio (36), #hilo (34), hii (30), makala (30), jeshi (28), hao (28), tukio (27), kwamba (26), #kuhusu (26), kuna (25), huko (25), wakati (23), vya (23), moja (23), sababu (22), makonda (21), watanzania (21), sasa (21), #raia (20), habari (19), yake (19), kazi (19), dhidi (19), wanane (19), wetu (18), pia (18), mno (18), hatua (18), wake (18), bali (17), 2017 (17), baadhi (17), clouds (17), serikali (17), hapa (16), 2015 (16), upinzani (15), kitila (15), taifa (15), kila (15), april (15), hili (15), muhimu (15), basi (14), kitaifa (14), tanzania (14), vile (14), zaidi (14), hivyo (14), chahali (14), kati (14), mwema (14), yetu (14), mambo (14), wananchi (14), huyo (14), japo (14), zitto (13), pamoja (13), huu (13), may (13), uhai (13), 2010 (13), ajali (13), hivi (13), mkuu (13), askari (13), usalama (13), profesa (13), 2016 (13), vifo (12), siku (12), hata (12), sana (12), hali (12), dokta (12), 2009 (12), 2012 (12), husika (12), hadi (12), 2011 (12), watu (12), 2007 (12), 2014 (12), 2013 (12), kampeni (11), huo (11), wanafunzi (11), 2008 (11), kiongozi (11), mauaji (11), uvamizi (11), wengi (11), june (11), february (11), ambao (11), march (11), ujumla (11), kutoka (11), october (11), kitu (11), january (11), november (11), kwanza (11), mkubwa (10), september (10), august (10), evarist (10), taarifa (10), december (10), ndani (10), muda (10), july (10), binafsi (10), kubwa (10), ndio (10), hizo (10), siasa (10), yao (10), matukio (9), ambacho (9), salamu (9), kiasi (9), takriban (9), nape (9), kutoa (9), state (9), wazi (9), wengine (9), bashite (9), mwaka (9), watumishi (9), mmoja (9), uongozi (9), ukweli (9), maana (9), ambaye (9), elimu (9), ushauri (8), chama (8), jamii (8), tatizo (8), intelijensia (8), kituo (8), wiki (8), fulani (8), rambirambi (8), wenye (8), mara (8), hicho (8), hayo (8), kabla (8), wahusika (7), taasisi (7), vyombo (7), viongozi (7), suala (7), kabisa (7), vyama (7), hasa (7), uhusiano (7), yeye (7), kauli (7), kuliko (7), ccm (7), sie (7), bila (7), huku (7), gani (7), vema (7), urais (7), mtu (7), wenzetu (7), kadhaa (7), kitabu (7), chini (7), laiti (7), nchi (7), kufanya (7), read (7), zangu (7), more (7), yangu (7), pwani (7), deep (7), mwanasiasa (6), wangu (6), mbaya (6), makubwa (6), twitter (6), ili (6), majuzi (6), kuu (6), john (6), alikuwa (6), kibiti (6), maombolezo (6), baada (6), kuchukua (6), karatu (6), nini (6), waliouawa (6), nyingine (6), operesheni (6), wote (6), wizara (6), bora (6), ambayo (6), waziri (6), 2006 (6), mzaha (6), mazingira (6), haki (5), miili (5), huyu (5), mbalimbali (5), kwahiyo (5), ilikuwa (5), kikubwa (5), ushirikiano (5), makusudi (5), leo (5), roma (5), mgombea (5), tawala (5), kuaga (5), majipu (5), kumnadi (5), janga (5), karibuni (5), badala (5), pengine (5), mengine (5), ndugu (5), kutokea (5), idadi (5), msamaha (5), kile (5), act (5), wazalendo (5), unafiki (5), kitengo (5), wenyewe (5), kasoro (5), awali (5), tunaomboleza (5), uingereza (5), msiba (5), umma (5), msanii (5), mungu (5), mkoani (5), baadaye (5), uhuru (5), kipindi (5), sambamba (5), dola (5), mapema (5), sisi (5), mkoa (5), kutokana (5), nafasi (5), vyeti (5), gazeti (5), hakuna (5), kando (5), nyumbani (5), com (5), eneo (5), kuvamia (5), tathmini (5), tukiweka (4), waathirika (4), mwingine (4), nihitimishe (4), pale (4), nchini (4), kuzuwia (4), dar (4), apr (4), fursa (4), salaam (4), zake (4), lawama (4), wala (4), udaku (4), jambo (4), haja (4), blogger (4), pole (4), prof (4), kielimu (4), nyuma (4), tetemeko (4), tuhuma (4), zoezi (4), zao (4), sahihi (4), trump (4), jamaa (4), comments (4), sijui (4), marafiki (4), wasio (4), vigumu (4), tuna (4), zetu (4), waandishi (4), igp (4), vyao (4), ipo (4), pekee (4), jpm (4), mimi (4), wafiwa (4), ninaandika (4), uzito (4), kufahamu (4), barabarani (4), mzima (4), ulinzi (4), wanasiasa (4), peke (4), jinsi (4), kinyama (4), kuandika (4), uchaguzi (4), familia (4), chuki (4), mujibu (4), mkono (4), dunia (4), kisiasa (4), kitendo (4), usio (4), ugomvi (4), kutekwa (4), labda (4), kigaidi (4), ajira (4), ambapo (4), kuimarisha (4), uliofanywa (4), kadhalika (4), nyeti (3), lengo (3), msingi (3), lolote (3), ambalo (3), viposti (3), saa (3), matokeo (3), uraia (3), wao (3), ikoje (3), comment (3), marehemu (3), vitisho (3), ilivyo (3), mtaani (3), tamko (3), whatwouldmagufulido (3), waliofukuzwa (3), bwana (3), kwani (3), msimamo (3), zama (3), unaweza (3), wapinzani (3), pili (3), unyanyasaji (3), mie (3), ninahisi (3), historia (3), angalau (3), mkatoliki (3), hapo (3), uzoefu (3), sote (3), home (3), alama (3), ujasiri (3), licha (3), rushwa (3), mzalendo (3), ujuzi (3), hiki (3), toleo (3), jina (3), mifano (3), mpya (3), jana (3), pongezi (3), tofauti (3), hoja (3), nzima (3), sheria (3), jitihada (3), tangu (3), nianze (3), utata (3), kuzaliwa (3), kulikoni (3), miaka (3), miwili (3), ughaibuni (3), masomo (3), majanga (3), kuendelea (3), tena (3), lile (3), pumzi (3), pic (3), kumpigia (3), kuguswa (3), matakwa (3), wanazozijua (3), mwenyewe (3), kujali (3), maendeleo (3), kukabiliana (3), kweli (3), anaamini (3), kukabili (3), nao (3), abiria (3), kutoonekana (3), sehemu (3), wewe (3), nguvu (3), idara (3), fomu (3), majambazi (3), paul (3), nani (3), haraka (3), kulikuwa (3), kujenga (3), waliofariki (3), kosa (3), mengi (3), hotuba (3), kuzingatia (3), milele (3), ukimya (3), njia (3), stahili (3), mikutano (3), wawili (3), kuuawa (3), kushamiri (3), rahisi (3), namna (3), kusaka (3), nanyi (3), marijani (3), yayumkinika (3), nsato (3), chache (3), kikuu (3), chuo (3), vitu (3), majina (3), kukwepa (3), mubashara (3), shabiki (3), chadema (3), upendeleo (3), kujielekeza (3), kioperesheni (2), nnauye (2), tafsiri (2), ujambazi (2), kijambazi (2), linaelezwa (2), yote (2), unapoona (2), tegemeo (2), chochote (2), achukue (2), amri (2), kumfanya (2), kupiga (2), kumfukuza (2), kuhalalisha (2), vilipaswa (2), unyama (2), kinachoweza (2), ugaidi (2), mhadhiri (2), ardhi (2), kesi (2), una (2), kikundi (2), wakazi (2), macho (2), uteuzi (2), kuwavizia (2), ingekuwa (2), kifo (2), ninayoelewa (2), wanaotikisa (2), mangu (2), kuitwa (2), magaidi (2), linastahili (2), wanaona (2), dalili (2), ripoti (2), kupitia (2), wish (2), could (2), waliofanyiwa (2), mwakyembe (2), sina (2), hawawezi (2), kupatikana (2), kuhakiki (2), tatu (2), tunakoelekea (2), sindano (2), zile (2), ameishiwa (2), pasipo (2), undani (2), kuzuri (2), kutatanisha (2), kuwachukua (2), kudhibiti (2), inastahili (2), shughuli (2), halali (2), ubaguzi (2), kutumbulia (2), huwa (2), isitumike (2), matatizo (2), maswali (2), letu (2), kushindwa (2), hadharani (2), halafu (2), maandamano (2), kuhitimisha (2), maarufu (2), feki (2), tumbuamajipu (2), kisha (2), haijulikani (2), wakuu (2), hatari (2), nne (2), kutahadharisha (2), kaishiwa (2), lilikuwa (2), vigogo (2), akisema (2), kuwaua (2), ulaya (2), mashakani (2), kuwahakikishia (2), kuwaonya (2), haya (2), ukawa (2), kali (2), kwetu (2), mgumu (2), ungekuwa (2), zitachukuliwa (2), yoyote (2), yalipewa (2), runinga (2), yanatuandama (2), ufaransa (2), bongofleva (2), mkumbo (2), ila (2), ubelgiji (2), mawili (2), lililonigusa (2), kuiangusha (2), uwezekano (2), hatia (2), kuikosoa (2), huongea (2), wakisifika (2), wenu (2), alinukuliwa (2), mafunzo (2), halitokuwa (2), inspekta (2), nusu (2), jawabu (2), mkakati (2), kuzuia (2), jenerali (2), kamishna (2), atakuwa (2), yeyote (2), watawala (2), maalumu (2), nzuri (2), mwigulu (2), nchemba (2), imani (2), hawa (2), ambazo (2), powered (2), kimoja (2), wanaotusimanga (2), huenda (2), ujerumani (2), wadhifa (2), kufuatia (2), sifa (2), kidikteta (2), adui (2), kusaidia (2), likionekana (2), limekuwa (2), upande (2), tunaendelea (2), yaliyopo (2), asilimia (2), majeshi (2), uliopo (2), kitambo (2), tabia (2), kuondoa (2), kiungo (2), maovu (2), kuona (2), kabwe (2), kurejea (2), ulifutwa (2), mpango (2), nyenzo (2), makazi (2), kana (2), vyote (2), kutawala (2), wamekuwa (2), mwafaka (2), katibu (2), tayari (2), hatuthamini (2), tukatafakari (2), wenzake (2), linakwenda (2), haishangazi (2), inasikitisha (2), wilayani (2), mahusiano (2), ghasia (2), kikosi (2), kufikia (2), ffu (2), imara (2), waziwazi (2), kinachochukiwa (2), utendaji (2), ubabe (2), wasivyopendezwa (2), naelewa (2), likifanya (2), kudumu (2), upungufu (2), kuhusiana (2), yanaweza (2), iwapo (2), kuvunja (2), kuangalia (2), tulikotoka (2), tulipo (2), tuendako (2), penye (2), pana (2), upendo (2), walimu (2), naomba (2), rekodi (2), kiini (2), kumshauri (2), kitaalamu (2), walioghushi (2), pazia (2), yanayojiri (2), mawasiliano (2), mahala (2), ujumbe (2), ajenda (2), umuhimu (2), nzito (2), kwanini (2), uamuzi (2), unaonyesha (2), reli (2), tunakumbuka (2), mpinzani (2), mwisho (2), ushiriki (2), mengineyo (2), blog (2), archive (2), ilivyokuwa (2), posts (2), tovuti (2), mauti (2), jipu (2), ibariki (2), walikuwamo (2), bunge (2), utiifu (2), ubinadamu (2), nyingi (2), uzinduzi (2), alikwenda (2), kupenda (2), naandika (2), hakuwepo (2), sitaki (2), kwake (2), kelele (2), huyuhuyu (2), maslahi (2), ratiba (2), vipindi (2), mpaka (2), mtumishi (2), kudai (2), chief (2), kutumia (2), kumpangia (2), kwangu (2), sawa (2), rasmi (2), kuwaambia (2), ruge (2), wanathamini (2), 000 (2), kampuni (2), kagera (2), nitumie (2), poleni (2), majeruhi (2), kuomboleza (2), kusaga (2), hakika (2), televisheni (2), akiwa (2), silaha (2), kumtaka (2), wengineo (2), ikizingatiwa (2), maelezo (2), kubadili (2), mbele (2), kuweka (2), madereva (2), duniani (2), wajibu (2), wapo (2), kujuana (2), jazba (2), mahakama (2), nimeandika (2), kasumba (2), uzembe (2), ikiwa (2), mfupi (2), maisha (2), waliguswa (2), safari (2), utumishi (2), teknolojia (2), changamoto (2), kutisha (2), yasiyo (2), wale (2), jingine (2), thamani, dogo, kawaida, arusha, ametoa, shurti, amekuwa, donald, kugusia, kidogo, uwe, mlingoti, ipepe, pembeni, bendera, kuwe, niwatoe, ama, uharibifu, lililoyakumba, kinaitwa, wazima, mijadala, kuepesha, najiuliza, sipati, kunyamazisha, aidha, dereva, within, akikiongelea, maeneo, waliopoteza, ninajiuliza, nabaki, limeripotiwa, mali, marekani, kusababisha, ziwa, kanda, misiba, kutangaza, mashiko, linamuangalia, kutoungana, kushinda, kinashangaza, hakipendezi, mashaka, alifanikiwa, tajiri, kushughulikia, hizi, nyakati, zima, anayoilalamikia, mlezi, kumwonea, baba, menu, comforter, kumdhuru, toggle, hakina, commander, siungo, kutambua, waombolezaji, inaweza, kumkwamisha, samia, wakiazimia, utetezi, makundi, nimesikia, udadisi, siambulii, haikuona, matatu, kisichopendeza, hassan, suluhu, makamu, inayowezekana, burudani, ambush, iliyotokea, wafanyabiashara, watendaji, kiintelijensia, anadai, kihivyo, michezo, kuwepo, mgeni, tumerogwa, picha, jibu, awapatie, mwanga, tunaweza, kimeikumba, pumziko, kushuhudia, lugha, hai, ndefu, kujiuliza, ninajaribu, utulivu, awaangazie, pigo, ndoto, humo, kukatishwa, mitihani, wanaelekea, kinachofanya, kikinisumbua, wamekumbwa, mzazi, msemo, tuliyonayo, nilipokisia, ametwaa, unaokusudiwa, anayejihusisha, uandishi, amekwishapewa, angalizo, anatarajiwa, kuihusu, ionekane, amina, utumike, lipo, inabidi, kuiangalia, amani, tumbua, kukicha, wanasema, ziada, wametutangulia, wapumzike, tupo, nafsi, mwanadamu, kimekuwa, aujuaye, zinatajwa, kinanisumbua, nimekwishaliongelea, uliopotea, matatizoni, kuliingiza, wanapozuwia, maandamani, nilipo, ile, yanapojiri, kukielezea, anaguswa, kinahusika, mkazi, hupewa, lililopata, ndogo, kungetokea, ingekuwaje, ifikishe, iliyoripotiwa, kupata, nashindwa, kilicho, lukuki, kuthibitisha, mwana, desturi, kukosa, subira, yakiwa, huonja, sioni, inayojitokeza, hayajafanyika, mazishi, kulaumia, kuanza, zimepatikana, inawezekana, hisia, akanieleza, yanayonifanya, maongezi, anayefanya, nazungumza, nilikuwa, mila, unaoendelea, mapungufu, zisizopendeza, niliyotanabaisha, uchungu, kukiuka, atarejesha, wanaochekelea, kupatiwa, ufumbuzi, dharau, kunakuwa, kufikirika, anakuwa, mtoto, wanafurahia, ukiajiri, matamko, unahitaji, ernest, mataifa, watanifanya, magharibi, tumekwishaanza, kuzoea, nilivyojifunza, kubebana, kuishi, wanavyothamini, lingekuwa, limetokea, kingesimama, tumekwishazoea, unaotoa, iliyopita, mbovu, limedumu, tishio, ameshiwa, ambavyo, tumepasua, kujumuika, waliajiriwa, alihudhuria, hafla, hawakujiajiri, mbili, zingeweza, kusogezwa, kufoji, hosteli, ndivyo, hawakujichagua, zikitolewa, haliwezi, kitongoji, zimekuwa, magomeni, serikalini, alizungumza, hautakuwepo, busara, kufurahia, jinai, yupo, ikaelekezwa, halisi, kazini, aliyeniingiza, mfumo, uafisa, amiri, anaiamuru, consequences, walakini, unintended, yasiyotarajiwa, tete, kuituhumu, imekwepa, linaweza, ninalohisi, kufuata, itekeleze, tata, imefanya, kuendesha, wilaya, katamka, hukumu, ikifumbia, wanaendelea, kuandamwa, kughushi, saba, wafungwe, kuongeza, vinavyoweza, viwili, asiyejua, siwezi, kubashiri, wana, mikoa, kutumbua, nje, share, taaluma, pinterest, whatsapp, kinachozungumzia, shushushu, changu, akina, iliwahusu, google, umakini, facebook, kuwafahamu, tumeanza, balozi, kufungua, waliojazana, benki, watoto, uliofanyika, kuyajadili, pake, unapaswa, kulaaniwa, vikali, utekelezaji, halikuwa, kumnusuru, wabunge, kisheria, kuwafukuza, kukosekana, akiwepo, kuliangalia, sugu, oparesheni, ugonjwa, yasiyopaswa, hatutokuwa, magari, wakiendesha, naytv9a5do, wazembe, aliongea, kingine, balaa, maalum, wameuawa, utazidi, word, from, zilizochangia, sala, dua, waliostahili, bbf0ecbxtu, kuwakumbuka, zinatolewa, hakukuwa, alithibitisha, hilolakina, akadai, hana, kuanzia, haina, wafanyakazi, kuungana, kusema, wanaoweza, zilipelekea, vilivyotokana, vingine, kuongoza, vyake, mazuri, limeonyesha, tbc, utangazaji, shirika, sintofahamu, uliowasukuma, millardayo, uzalendo, group, media, kuipongeza, usafiri, ubovu, kanuni, itafunguliwa, huchangiwa, hautokuwepo, zinazotokea, millard, kinga, ayo, atakapowasiliana, kutimua, mtandaoni, zuri, waliiitwa, walikatishwa, tushazowea, udom, dodoma, inayostahili, tano, kidato, kutowaruhusu, sayansi, magumu, haba, mchungu, ukiwa, lisilo, kikwete, jakaya, awamu, uhakiki, nilioutanabaisha, hawakuguswa, wanapozuia, kushitukiza, shaka, siungi, mzuri, hatujashughulikia, tukilinganisha, mdogo, vilaza, lao, uchambuzi, watakaosema, inavyoonekana, kugushi, kufukuza, maoni, inahusu, wahalifu, kuisaka, tumetumia, nitanabaishe, zimekaliwa, wanakosa, ngazi, lililonikera, sijasikia, aanasubiri, kuingizwa, kamili, hapana, hauko, kihalali, tumeshaanza, kuzowea, wanahitimu, wadogo, haipendezi, kupongezwa, zilikuwa, ufaulu, ualimu, kozi, anachokiita, copyright, matamshi, debe, usiomithilika, udhalilishaji, mazito, matusi, kilichoambatana, wanaoikosoa, unaofanywa, mhanga, kutusaliti, kukumbukwa, wakihoji, kunielewa, walishindwa, haikuwa, akiambatana, ofisi, ameandika, kifua, yasiyostahili, ajili, kumsikia, alivyo, alimudu, miezi, nilipochapisha, novemba, aliyopishwa, kasi, aliingia, sikuona, kuonyesha, niliamua, walijaribu, kona, kijamii, mtandao, watumiaji, iliyotikisa, hashtag, naamini, akimkingia, bumbuwazi, nyoyo, mutahaba, kusisitiza, ililenga, sijawasilisha, wasimamie, wakisubiri, waliokuwa, kilichotamaniwa, joseph, hususan, kukajitokeza, kuupongeza, mwetu, kumbukum, kilichotokea, wakaeleza, wenzao, kuendekeza, uelewa, nimeshikwa, nilimtetea, kumwondoa, mikakati, niliamini, kulevya, madawa, haramu, biashara, nilichoamini, niweke, nilithibitishiwa, wanaomshauri, kuwatendea, mteuliwa, iwe, nilipanga, kimsingi, anafahamu, nikaelezwa, zina, kukonga, mkali, yaani, alivyotoa, wafugaji, ujue, vingi, kipaumbele, hazijapewa, zinazomhusu, anakerwa, nachoweza, kurudia, migogoro, aliyonayo, madaraka, anatamani, ukiona, jaji, akuona, tulipasw, kumgharimu, wakulima, yule, kijana, aliyerithi, hayajawahi, isiyopendeza, yatabaki, bastola, kumtolea, afisa, aliyoyasema, mkutano, kabudi, tuliyedhani, mwakyemba, anawaapisha, aliyoitoa, yasiyopendeza, maneno, mafuriko, wanyonge, tetezi, kunaweza, kumkumbatia, ufisadi, waliokisoma, juzi, disemba, madarakani, aliokaa, kutathmini, walionikosoa, kukipongeza, tunavyofanya, nilichapisha, mwezi, kufanywa, maadhimisho, ukosoaji, sikuafikiana, matumizi, kubana, ari, mkesha, kielektroniki, kumbeba, wataalamu, hatoweza, mabifu, kutafuta, aache, popote, hazitamfikisha, apunguze, ninamsihi, anaopewa, kilichobeba, asikilize, wamiliki, wanazojua, haikutoka, jumatano, iliyopaswa, soma, machi, mafanikio, hawakuwaangusha, kuhatarisha, mabadiliko, anaopatiwa, watakapotumia, washauri, itapofika, litakuwa, nimeeleweka, ninaamini, kufafanua, wasaidizi, ninaomba, kukufikishia, vilevile, aliofanya, kumwajibisha, uwapatie, kukushauri, hupangiwi, waliotukosea, kusamehe, mbadala, ndicho, kwaresma, haikuleta, haziendani, lazima, kuwapikia, huwezi, njaa, wanaolalamikia, msalaba, abebe, wahanga, kinachotokea, matangazo, kurushwa, fights, cheap, picking, tija, nimalizie, maungamo, mkristo, kwako, magazeti, 106, 2022, widget, pages, about, podcast, tweets, themepix, lasantha, templates, premium, theme, design, wakuombee, www, kuwasihi, zako, ukimtanguliza, umekuwa, zote, baruapepe, protected, email, older, atom, subscribe, categories, matarajio, anataka, wakaamua, vyenu, kutaka, ulie, zimekwisha, alikumbusha, unapoteza, ukiniingilia, nifanye, wanaingilia, mnahangaika, mwendelezo, kilichonisikitisha, kumwingilia, kumweleza, tunamwingililia, anavyovidharau, kikamilifu, tulioshiriki, dhihaka, achukuliwe, wasiojua, kuidhuru, alipiga, kuaminika, lingeweza, wangesema, ingeweza, anaokemea, shilawadu, kueleza, simu, zilizopita, kuamini, ikumbukwe, aliwaomba, juu, barabara, ujenzi, mradi, akiongea, dhambi, isiwe, nimeoiona, kunalenga, kutuaminisha, alimuunga, ndiyo, amesahau, achape, afanye, wapi, akae, anayepanga, kumwambia, kuruhusu, maamuzi, power, abuse, jeuri, haitompa, kuchapa, aendelee, ameridhia, inayompa, kuwania, isipokuwa, alitukumbusha, mwajiriwa, kupangiwa, kumkumbusha, aliyevamia, mteule, amwajibishe, anajiamini, hapangiwi, tunamwingilia, hakufanya, anatuona, tumwombee, anatusihi, waongozwa, kutuongoza, ruhusa, hakumpi, pepe, kwenda, ukoloni, kabineti, kuchukulia, tunabakiwa, video, msikilize, kutowashirikisha, aliapa, zanzibar, mojawapo, swali, majibu, jicho, umelenga, tunaoliangalia, chuoni, mkataba, asiongezewe, baregu, mwesiga, zilizoplekea, barefu, wanaopinga, kuidhoofisha, kooni, kiitikadi, kumsapoti, ukatibu, kumteua, umwagiliaji, kilimo, amemteua, ikulu, iliyotawala, umoja, mtego, wanaoiunga, wanaoipinga, wanaounga, mitazamo, imepokelewa, amepongeza, bosi, malengo, mzoefu, iliyomkalia, ninawafundisha, linahusu, ameibuliwa, kiduchu, tukimwona, tulikuwa, wasomi, kupora, aliyekwishakemea, kotekote, neno, namla, sidhani, uswisi, pesa, walioficha, mafisadi, kutaja, ahadi, stori, udsm, ileile, hiyohiyo, kuandaa, haukuwa, ulaji, anapewa, utahisi, ukalinganisha, aliopewa, ukiangalia, kurithi, wahadhiri, alivyoibuliwa, zinazofanywa, teuzi, alipokemea, alishaweka, kitilam, bw0qfjjlvr, hello, kupewa, isitafsiriwe, nisingekuwa, ilichodai, hajaeleza, kushughulikiwa, wanaotakiwa, zinadai, kutomwamini, imerejea, yanazua, yaliyokwishapatikana, kiliwasibu, kushangaza, umaarufu, wametekwa, walikuwa, bahati, iliyotajwa, deadline, anapatikana, atapatikana, aliyepotea, ushawishi, tumekwishawahi, mwenzao, emmanuel, mwingi, upuuzi, amekwishaongea, kubenea, saed, kibanda, absalom, ulimboka, karibu, yaliyowasibu, nadhani, kuteswa, wakitekwa, tulishuhudia, waliohusika, kubainisha, hayaruhusu, anasema, kumpata, nisingepoteza, ninafahamu, elements, rogue, undermine, zinapofanyika, unapopuuzwa, pindi, mnafahamu, kushauri, hazifahamiki, lenu, jukumu, nafahamu, madhara, itasababisha, ikiachwa, kukua, nina, zinazohusishwa, msipochukua, awasaidie, uhuni, kuomba, wasanii, kundi, anapotekwa, yenu, taswira, unachafua, unaofanyika, mnasikia, mtahisiwa, mtakuwa, ninachosikia, ninasikia, mbali, niliye, ninyi, mrefu, yanayoendelea, mmebariki, kuisoma, kudaka, kukabidhiwa, kimataifa, niseme, kuachana, mabavu, zozote, tujipange, uvunjifu, kutetea, aliyofikia, kishindo, hatukujua, aliyeingia, kilichomsibu, vichwa, kukuna, vipi, tunayaganga, yatapita, tuliwahi, tuliomnadi, angekuja, tukikaa, kada, mfano, mawaa, yenye, asiye, kumsimamisha, walivyoungana, alinieleza, mwandamizi, nakumbuka, kubadilika, yajayo, tugange, yameshapita, ulikuwa, auliamia, tungefanya, tusingekimbia, ungesimamisha, kimya, sauti, alieleza, nilipoandika, tume, alipokea, redio, kufuatilia, kusimamia, masuala, yaliyojitokeza, manne, ilitenguliwa, magufulikujulikana, kizembe, cheti, ndoa, kufunga, marufuku, alilikoroga, harrison, dkt, aliyounda, anambeba, uwezo, haikuchapishwa, kutofanya, wema, yahitaji, yashamiri, aliusia, mwanafalsafa, haipo, imechapishwa, kuchapishwa, alionyesha, ilipaswa, ninayoiambatanisha, kirefu, nimelieleza, kinachoonekana, yanayotatiza, changa, tulidhani, kuiweka, slaa, uliirahisishia, kuisaliti, haitowezekana, inaelezwa, drama, kukajiri, msikie, hebu, amebadilika, miujiza, kamteua, nasema, asikamatwe, wamejifunga, wakikwepe, wajifunge, kitanzi, kawarushia, uzuri, uwepo, wamo, jengo, alilazimika, kao, moto, kurushiwa, aliyewahi, asiyekumbuka, mnafiki, nikimwona, nimekuwa, amepotea, tetesi, akamwashia, kujificha, kuwaburuza, kuwatawala, hawatamvumilia, alichoita, alilaani, machachari, muhula, akidai, akapatikana, watakuwa, kufukuzwa, lowassa, tuliompigia, amenunua, atakayemkemea, anayebebwa, tumeshuhudia, maajabu, isingeshuhudia, tumemleta, ndo, ule, mar, wowote, uliopita, wanasahau, kirahisi, kumshinda, kilichowarahisishia, vizuri, akijulikana, kumlea, nawatakia, chokochoko, flani, wasingefanya, dhati, wanaoamini, kukumbuka, utaongea, tuliache, ataufahamu, ninatarajia, unaomhusisha, njema, dhalimu, twafahamu, ishu, akielezea, anayemwagia, mtamskia, zijazo, ajabu, nimaliie, navigation,


Text of the page (random words):
na ni taarifa ya salamu za rambirambi kutoka kwa rais kama inavyoonekana hapa chini hadi wakati salamu hizo za rambirambi zinatolewa hakukuwa na tamko lolote kutoka kwa uongozi wa jeshi la polisi awali waziri wa mambo ya ndani ya nchi mwigulu nchemba alithibitisha kutokea kwa tukio hilolakina akadai hana taarifa kuhusu tukio hilo hadi atakapowasiliana na igp askari wanane wameuawa no word from inspekta jenerali wa jeshi la polisi na wengineo waliostahili kuwa wa kwanza kutoa tamko majipu pic twitter com bbf0ecbxtu evarist chahali chahali april 14 2017 baadaye kamishna wa mafunzo na operesheni wa jeshi la polisi nsato marijani aliongea na waandishi wa habari ambapo pamoja na mambo mengine alinukuliwa akisema kuwa jeshi hilo halitokuwa na mzaha wala msamaha katika operesheni maalum kuhusiana na tukio hilo kuanzia sasa jeshi la polisi linakwenda kwenye oparesheni maalumu hatutokuwa na mzaha wala msamaha nsato marijani pic twitter com naytv9a5do millard ayo millardayo april 14 2017 je kulikuwa na mzaha na msamaha kabla ya tukio hilo ambao sasa hautokuwepo wakati wa operesheni husika tukiweka kando kasoro hizo jambo moja lililonigusa mno ni ukweli kwamba matukio makubwa mawili ya hivi karibuni uvamizi uliofanywa na rc makonda kwenye kituo cha clouds na kutekwa kwa msanii wa bongofleva roma mkatoliki yalipewa uzito mkubwa na watanzania kuliko mauaji hayo ya polisi hao wanane inasikitisha lakini haishangazi sababu moja kuu ya wananchi wengi kutoonekana kuguswa na mauaji hayo ya polisi wanane ni ukweli kwamba mahusiano katika ya jeshi la polisi na wananchi wengi sio mazuri polisi wetu wamekuwa wakisifika kwa unyanyasaji dhidi ya raia wasio na hatia na kama kuna kitengo cha polisi wetu kinachochukiwa mno ni hicho cha ffu kikosi cha kuzuwia ghasia ambacho askari hao wanane walikuwamo japo siungo chuki hiyo lakini naelewa jinsi gani watanzania wengi wasivyopendezwa na utendaji kazi wa jeshi la polisi kwa upande mwingine jeshi hilo limekuwa likionekana kama adui wa kudumu dhidi ya vyama vya upinzani huku likifanya upendeleo wa wazi kwa chama tawala ccm kwahiyo wakati tunaomboleza vifo hivyo vya polisi hao wanane ni muhimu mno kwa wahusika kuchukua hatua za makusudi kuondoa uhusiano wa chuki na mashaka uliopo kati ya jeshi la polisi na asilimia kubwa ya watanzania kana kwamba uhusiano bora kati ya jeshi la polisi na wananchi sio muhimu kihivyo moja ya nyenzo muhimu ya kujenga na kuimarisha ushirikiano huo mpango wa polisi jamii ulifutwa kwa sababu wanazozijua wahusika polisi jamii ilikuwa kiungo muhimu kati ya polisi wetu na jamii kioperesheni japo tukio hilo la mauaji ya polisi wanane linaelezwa kuwa ni la kijambazi binafsi ninahisi kuwa kuna tatizo zaidi ya ujambazi na kwa tafsiri ninayoelewa kuhusu ugaidi basi tukio hilo linastahili kabisa kuitwa la kigaidi ni majambazi gani wenye ujasiri wa kuwavizia polisi na kuwaua kufuatia ambush kama hiyo iliyotokea eneo la tukio halafu hilo sio tukio la kwanza na hao polisi wanane sio polisi wa kwanza kuuawa katika eneo hilo sambamba na wakazi wengine yayumkinika kuhitimisha kuwa jeshi la polisi na wizara ya mambo ya ndani hawawezi kukwepa lawama kwa kushindwa kukabili kushamiri kwa mauaji katika eneo hilo sijui rais magufuli ameishiwa na zile sindano zake za kutumbulia majipu au kaishiwa pumzi ya tumbuamajipu lakini ni wazi kuna matatizo ya msingi katika uongozi wa wizara ya mambo ya ndani na jeshi la polisi kwa ujumla ukimya wa polisi katika uvamizi huko clouds na kutekwa kwa roma na sasa hili la kibiti vilipaswa kumfanya rais magufuli achukue hatua moja ya sababu maarufu ya polisi wetu wanapozuwia mikutano au maandamani ya vyama vya upinzani huwa intelijensia sasa kama intelijensia ipo kwenye kudhibiti shughuli halali za vyama vya siasa kwanini intelijensia hiyo isitumike kwenye kukabiliana na magaidi hao wanaotikisa mkoa wa pwani nihitimishe makala hii kwa kurejea salamu zangu za rambirambi kwa familia za askari hao waliouawa kinyama pamoja na mapungufu yote niliyotanabaisha katika makala hii hakuna kitu chochote kinachoweza kuhalalisha unyama waliofanyiwa askari hao lakini pia wakati tunaomboleza vifo vyao ni vema tukatafakari kama taifa kuhusu mahusiano kati ya jeshi la polisi na vyombo vyote vya dola kwa ujumla na raia ambayo yakiwa bora yanaweza kusaidia kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na taifa kwa ujumla read more 13 apr 2017 makala yangu raia mwema la 12 04 17 kwa matukio haya hali ya utulivu tz ipo mashakani 13 4 17 evarist chahali raia mwema no comments wanasema wiki nzima katika siasa ni sawa na uhai mzima wa mwanadamu maana ya msemo huo ni kwamba katika siasa tunaweza kushuhudia matukio mengi katika muda mfupi tu kwa lugha nyingine katika siasa hata wiki tu ni ndefu kama uhai mzima sasa kama wiki tu ni uhai mzima je hali ikoje kwa mwaka mzima pengine jawabu lipo kwenye kuiangalia tanzania yetu katika kipindi cha takriban mwaka na nusu sasa kutoka zama za tumbua majipu na hapa kazi tu hadi muda huu ambapo kila kukicha ni bashite hili bashite lile bashite hiki bashite kile na mengineyo mengi ni vigumu kuandika makala hii ili ifikishe ujumbe unaokusudiwa kwa sababu takriban kila anayejihusisha na uandishi amekwishapewa angalizo kuhusu nini anatarajiwa kuandika kuihusu tanzania yetu habari nzuri tu kwa hiyo inabidi ujuzi wa ziada utumike kuandika habari mbaya lakini ionekane kama nzuri kwa mujibu wa matakwa ya watawala wetu muda huu ninaandika kitabu kinachofanya tathmini ya tanzania tulikotoka tulipo na tuendako ndio jina la kitabu husika na humo ninajaribu kwa uhuru mkubwa kujiuliza kwa mifano hai nini hasa kimeikumba nchi yetu hadi kufikia hali hii tuliyonayo sasa majuzi nilikuwa nazungumza na mtu mmoja mzalendo anayefanya kazi kwenye taasisi moja nyeti ni maongezi na watu kama hawa yanayonifanya kufahamu yanayojiri nyuma ya pazia akanieleza kitu ambacho tangu nilipokisia kimekuwa kikinisumbua sana kwa mujibu wa mzalendo huyo kuna kikundi hatari ambacho kazi yake kuu ni aidha kunyamazisha watu kwa nguvu au kuepesha mijadala muhimu kitaifa kwamba kikundi hicho ambacho ni vigumu kukielezea kwa undani bila kuliingiza gazeti hili matatizoni kinahusika na utata wote unaoendelea huko nyumbani muda huu niwatoe pembeni kidogo na kugusia kitu ambacho rais donald trump amekuwa akikiongelea mara kwa mara katika siku za hivi karibuni kinaitwa deep state jina jingine ni a state within a state dola ndani ya dola deep state anayoilalamikia trump inaweza kuwa tofauti na inayowezekana kuwepo huko nyumbani trump anadai kuwa kuna ushirikiano kati ya taasisi za kiintelijensia za nchi hiyo na baadhi ya watendaji wa serikali vyombo vya habari wafanyabiashara na makundi mengine katika jamii kwa pamoja wakiazimia kumkwamisha rais huyo mpya wa marekani tatizo la trump ni kwamba amekwishaongea upuuzi mwingi mno kiasi kwamba ni vigumu kuchukulia matamshi yake kwa umakini na pengine anachokiita deep state hakina lengo la kumdhuru kwa kumwonea bali kushughulikia ukweli kwamba tajiri huyo alifanikiwa kushinda urais katika mazingira ya kutatanisha katika tanzania yetu tumekwishawahi kuwa na mazingira karibu na hiyo deep state katika siku hizo mazingira hayaruhusu kubainisha kwa undani kuhusu waliohusika tulishuhudia watu wakitekwa na kuteswa katika mazingira ya kutatanisha nadhani sote tunakumbuka yaliyowasibu dk emmanuel ulimboka na waandishi wa habari absalom kibanda na saed kubenea sasa deep state imerejea tena angalau kwa mujibu wa huyo mzalendo ambaye sina sababu ya kutomwamini na taarifa zinadai kuwa kuna angalau watu 10 wanaotakiwa kushughulikiwa baadhi ni wanasiasa wa upinzani na wa chama tawala na wengine ni watu wenye ushawishi au nafasi muhimu au umaarufu kwenye jamii kwa bahati mbaya hadi wakati ninaandika makala hii msanii roma mkatoliki ambaye pamoja na wenzake walikuwa wametekwa kabla ya kupatikana katika mazingira ya kushangaza alikuwa hajaeleza kuhusu nini hasa kiliwasibu hata hivyo maelezo ya awali yaliyokwishapatikana yanazua utata kuhusu suala hilo msanii anapotekwa kisha kundi la wasanii wenzake linakwenda kwa kiongozi fulani kuomba awasaidie kumpata mwenzao na kiongozi huyo anasema kabla ya muda fulani msanii aliyepotea atapatikana na kweli anapatikana kabla ya deadline iliyotajwa na kiongozi huyo ni wazi kuna namna hapo nihitimishe makala hii kwa kutoa ushauri mrefu kwa ndugu zangu wa moja ya idara nyeti nchini tanzania ninyi ndio tegemeo pekee kwenye mazingira kama haya kama mimi niliye mbali na huko nyumbani ninasikia ninachosikia ni wazi nanyi mtakuwa mnasikia pia kuna uhuni unaofanyika huko mtaani na unachafua taswira ya taasisi yenu muhimu na nyeti nafahamu kuwa jukumu lenu ni kushauri tu lakini ninafahamu pia kuwa mnafahamu cha kufanya pindi ushauri wenu unapopuuzwa na pale zinapofanyika jitihada za waziwazi ku undermine umuhimu wenu hivi kweli hizo rogue elements zinazohusishwa na deep state hazifahamiki msipochukua hatua mtahisiwa kuwa mmebariki hayo yanayoendelea huko mtaani naomba isitafsiriwe kuwa ninawafundisha kazi laiti nisingekuwa na imani nanyi nisingepoteza muda wangu kutoa ushauri huu kama ilivyo kwa watanzania wengi nina imani kubwa nanyi hata hivyo kuna haja ya haraka ya kuzuia kukua na kushamiri kwa hiyo deep state ikiachwa itasababisha madhara makubwa mungu ibariki tanzania read more 5 apr 2017 tathmini jpm kumteua prof kitila ukatibu mkuu wa wizara na zitto kumsapoti jpm 5 4 17 evarist chahali kitila mkumbo magufuli zitto kabwe no comments habari iliyotawala mno jana ni taarifa kutoka ikulu kuwa rais john magufuli amemteua kiongozi wa chama cha upinzani cha act wazalendo profesa kitila mkumbo kuwa katibu mkuu wa wizara ya kilimo na umwagiliaji kwa tathmini ya haraka haraka taarifa hiyo imepokelewa kwa mitazamo miwili wanaounga mkono hatua hiyo na wanaoipinga wanaoiunga mkono wanaona hatua hiyo ya magufuli kama mwafaka katika kujenga umoja wa kitaifa na ushirikiano bila kujali tofauti za kiitikadi wanaopinga wanaona uteuzi huo umelenga kuidhoofisha act wazalendo mtego ambao haijulikani una malengo gani na unafiki wa baadhi ya wanasiasa wa upinzani katika suala hili ni profesa kitila na bosi wake zitto kabwe ambaye tayari amepongeza uteuzi huo kwa sie tunaoliangalia suala hili kwa jicho la tatu tunabakiwa na maswali mengi yasiyo na majibu swali mojawapo ni hili katika hotuba yake moja huko zanzibar rais magufuli aliapa kutowashirikisha wapinzani kwenye serikali yake msikilize mwenyewe kwenye video hii hapa chini je prof kitila alikuwa mpinzani feki kwenye chama feki cha upinzani na ukiangalia upendeleo aliopewa profesa kitila katika wadhifa wake kama mhadhiri wa chuo kikuu cha dar es salaam kisha ukalinganisha na sababu zilizoplekea profesa mwesiga baregu asiongezewe mkataba chuoni hapo utahisi ipo namna hadi wakati profesa kitila anapewa ulaji na magufuli ushiriki wake kwenye siasa haukuwa tatizo kwa serikali hiyohiyo iliyomkalia kooni profesa mzoefu barefu lakini pengine unafiki mkubwa wa profesa kitila ni ukweli kwamba alishaweka msimamo wake huko nyuma alipokemea teuzi zinazofanywa na rais magufuli kuwachukua wahadhiri pasipo kuandaa wa kurithi nafasi zao hello prof kitilam pic twitter com bw0qfjjlvr evarist chahali chahali april 4 2017 kwahiyo sidhani kama kuna neno stahili kuhusu profesa kitila zaidi ya unafiki ndio alikuwa mtumishi wa serikali lakini pia alikuwa kiongozi wa chama cha upinzani cha act wazalendo na hili la unafiki linahusu kotekote kwenye kazi yake kama mhadhiri aliyekwishakemea tabia ya serikali kupora wasomi kwenye taasisi za elimu na kama mwanasiasa ambaye baadhi yetu tulikuwa tukimwona kama tegemeo japo kiduchu kwenye siasa za upinzani leo hii profesa kitila ameibuliwa kutoka udsm na act wazalendo katika namla ileile bashite alivyoibuliwa kwenye u dc na kupewa u rc kuhusu zitto mie kitambo nimekuwa nikimwona kama mwanasiasa mnafiki nani asiyekumbuka ahadi yake ya kutaja majina ya mafisadi walioficha pesa za umma huko uswisi na ni zitto huyu huyu aliyewahi kurushiwa tuhuma za kuisaliti chadema baada ya gazeti moja kudaka kile ilichodai kuwa mawasiliano kati ya mwanasiasa huyo na kiongozi mmoja wa idara ya usalama wa taifa unaweza kuisoma stori husika hapa hivi majuzi tu kulikuwa na tetesi kuwa zitto amepotea baadaye akapatikana na akamwashia moto rais magufuli akidai kuwa atakuwa rais wa muhula mmoja tu mwanasiasa huyo machachari alilaani kile alichoita tabia za kidikteta za magufuli na kwamba watanzania hawatamvumilia magufuli kuwatawala kwa kuwaburuza kidikteta muda si muda kukajiri drama nyingine kuhusu zitto ambaye inaelezwa kuwa alilazimika kujificha ndani ya jengo la bunge ili asikamatwe na polisi leo magufuli kamteua profesa kitila kuwa katibu mkuu katika moja ya miujiza ya kisiasa nchini tanzania na tayari zitto amebadilika hebu msikie hapa chini uzuri mmoja wa unafiki huu ni kwamba magufuli kawarushia kitanzi profesa kitila na zitto wajifunge wenyewe au wakikwepe kwa sababu wanazozijua wenyewe wamejifunga wenyewe nasema hivyo kwa sababu kwa sasa haitowezekana kwa profesa kitila kuikosoa serikali kutokana na wadhifa wake huo mpya kadhalika zitto na act wazalendo yake watakuwa na wakati mgumu kuikosoa serikali ambayo nao wamo kupitia uwepo wa prof kitila lakini pengine ni vema kukumbuka historia ya wawili hawa katika siasa za upinzani tanzania mie ni mmoja wa watu wanaoamini kwa dhati kuwa laiti wawili hao zitto na kitila wasingefanya chokochoko ambazo baadaye zilipelekea kufukuzwa kao huko chadema basi huenda leo hii chadema ingekuwa chama tawala nimaliie makala hii kwa kutahadharisha kuwa si ajabu katika siku chache zijazo mtamskia tena zitto huyuhuyu anayemwagia sifa magufuli akielezea kuhusu ishu moja nzito baadhi yetu twafahamu kuhusu mkakati fulani dhalimu unaomhusisha bashite dhidi ya watu flani ninatarajia zitto ataufahamu hivi karibuni tuliache hilo muda utaongea nawatakia siku njema read more 25 mar 2017 jpm kutoka zama za whatwouldmagufulido hadi kumlea bashite kumfukuza nape ubabe nk 25 3 17 evarist chahali john magufuli nape nnauye paul makonda raia mwema 1 comment kuna wanaotusimanga tuliompigia kampeni rais john magufuli wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2015 kwamba sie ndo tumemleta magufuli kwamba bila sie kumnadi tanzania isingeshuhudia kipindi hiki cha maajabu ambapo kwa mara ya kwanza tumeshuhudia mkuu wa mkoa wa dar es salaam anayebebwa na magufuli akiwa na uhuru wa kuvunja sheria na yeyote atakayemkemea atakuwa amenunua ugomvi na magufuli wanaotusimanga wanasahau kitu kimoja laiti upinzani ungekuwa na mgombea imara katika uchaguzi mkuu uliopita kazi ya kuiangusha ccm ilikuwa rahisi kuliko wakati mwingine wowote ule nakumbuka kada mmoja mwandamizi wa ccm alinieleza wakati wa kampeni kuwa laiti wapinzani walivyoungana na kumsimamisha mtu asiye na rekodi yenye mawaa kwa mfano dokta slaa hivi basi uchaguzi huu ungekuwa mgumu sana kwetu alieleza kuwa ukawa uliirahisishia ccm kampeni ya kumnadi mgombea wake kwa vile pamoja na sababu nyingine mgombea wa ukawa lowassa alikuwa akijulikana vizuri mno huko ccm kitu kilichowarahisishia kumshinda kirahisi kwahiyo kabla ya kuachana na suala la lawama hizo nise...
Thumbnail images (randomly selected): * Images may be subject to copyright.GREEN status (no comments)

Verified site has: 29 subpage(s). Do you want to verify them? Verify pages:

1-5 6-10 11-15 16-20 21-25 26-29


Top 50 hastags from of all verified websites.

Recently checked links (by ScreenShot) on WebLinkPedia.

Screenshot of the main domain: News.Sky.comScreenshot of the main domain: tourdanangcity.vnScreenshot of the main domain: fiszki.plScreenshot of the main domain: bmtw.jpScreenshot of the main domain: interpages.orgScreenshot of the main domain: ke.jumia.isScreenshot of the main domain: stkippi.ac.idScreenshot of the main domain: tiga.caScreenshot of the main domain: medyafx.comScreenshot of the main domain: ililium.blogsky.comScreenshot of the main domain: aionaz.comScreenshot of the main domain: rezka.agScreenshot of the main domain: gwiazdyonline.plScreenshot of the main domain: o2.plScreenshot of the main domain: oekv.atScreenshot of the main domain: cinetalkers.comScreenshot of the main domain: tntsupplies.comScreenshot of the main domain: bazos.skScreenshot of the main domain: maannews.netScreenshot of the main domain: google.luScreenshot of the main domain: lb.uaScreenshot of the main domain: airaovat.comScreenshot of the main domain: imagesfestival.comScreenshot of the main domain: rfscc.jqw.comScreenshot of the main domain: triathletesports.comScreenshot of the main domain: soins-sante.beScreenshot of the main domain: megamultik.onlineScreenshot of the main domain: sibesabzadsl.irScreenshot of the main domain: compassion.emory.eduScreenshot of the main domain: gdaxloginus.weebly.comScreenshot of the main domain: basin.comScreenshot of the main domain: ceetiz.ruScreenshot of the main domain: uniquecoolpost.blogspot.comScreenshot of the main domain: bbbeaute.com.vnScreenshot of the main domain: find-ip.netScreenshot of the main domain: sarahanews.netScreenshot of the main domain: ka.airbnb.comScreenshot of the main domain: klik.chScreenshot of the main domain: dewaele.comScreenshot of the main domain: topassignmenthelp.com.au
Supplementary Information (add-on for SEO geeks)*- See more on header.verify-www.com

Header

HTTP/1.1 301 Moved Permanently
Date Fri, 29 Mar 2024 00:38:06 GMT
Transfer-Encoding chunked
Connection close
Cache-Control max-age=3600
Expires Fri, 29 Mar 2024 01:38:06 GMT
Location htt????/www.chahali.com/?m=1
Report-To endpoints :[ url : https:\/\/a.nel.cloudflare.com\/report\/v4?s=bPEv8GUlKn2LhQRD2h4POPNLkDV1uxZ2mAL%2FGDnqUsxRefF0wh1jFqYsRvcQh78mgNpw7Wx4KDJ7JFTezGPW79I33i6JMHJmLkB%2BvQylMO%2FJJMA7KZ04YLz66pEpqViteL8%3D ], group : cf-nel , max_age :604800
NEL success_fraction :0, report_to : cf-nel , max_age :604800
Vary Accept-Encoding
Server cloudflare
CF-RAY 86bbcb9009e935e0-FRA
alt-svc h3= :443 ; ma=86400
HTTP/1.1 200 OK
Date Fri, 29 Mar 2024 00:38:06 GMT
Content-Type text/html; charset=UTF-8
Transfer-Encoding chunked
Connection close
Expires Fri, 29 Mar 2024 00:38:06 GMT
Cache-Control private, max-age=0
Last-Modified Thu, 14 Mar 2024 08:18:58 GMT
X-Content-Type-Options nosniff
X-XSS-Protection 1; mode=block
CF-Cache-Status DYNAMIC
Report-To endpoints :[ url : https:\/\/a.nel.cloudflare.com\/report\/v4?s=YDBpkV2VJaj1gL6B8zwzTMNXRmGmpWTpUz7oIrg0u8EGmQ9TiwpiBKGwaDHw%2BQclinF%2FYYMa8Hk9m8rji%2FTsLLzAEnzW1jppdCS5GVwLUhBrQL3np4VDid9wKk9ob23KMj4%3D ], group : cf-nel , max_age :604800
NEL success_fraction :0, report_to : cf-nel , max_age :604800
Server cloudflare
CF-RAY 86bbcb909aa15c4d-AMS
Content-Encoding gzip
alt-svc h3= :443 ; ma=86400

Meta Tags

title="Kulikoni Ughaibuni"
content="text/html; charset=UTF-8" http-equiv="Content-Type"
content="IE=edge" http-equiv="X-UA-Compatible"
content="width=device-width, initial-scale=1.0" name="viewport"
content="text/html; charset=UTF-8" http-equiv="Content-Type"
content="blogger" name="generator"
content="htt???/www.chahali.com/" property="og:url"
content="Kulikoni Ughaibuni " property="og:title"
content property="og:description"
name="google-adsense-platform-account" content="ca-host-pub-1556223355139109"
name="google-adsense-platform-domain" content="blogspot.com"

Load Info

page size67238
load time (s)0.850836
redirect count1
speed download79025
server IP172.67.177.228
* all occurrences of the string "http://" have been changed to "htt???/"

SEO From Wikipedia, the free encyclopedia
Search engine optimization (SEO) is the process of affecting the online visibility of a website or a web page in a web search engines unpaid results—often referred to as `natural`, `organic`, or `earned` results. In general, the earlier (or higher ranked on the search results page), and more frequently a website appears in the search results list, the more visitors it will receive from the search engines users; these visitors can then be converted into customers. SEO may target different kinds of search, including image search, video search, academic search, news search, and industry-specific vertical search engines. SEO differs from local search engine optimization in that the latter is focused on optimizing a business online presence so that its web pages will be displayed by search engines when a user enters a local search for its products or services. The former instead is more focused on national or international searches. and ADS Publishers From Wikipedia, the free encyclopedia
Advertising is an audio or visual form of marketing communication that employs an openly sponsored, non-personal message to promote or sell a product, service or idea. Sponsors of advertising are often businesses wishing to promote their products or services. Advertising is differentiated from public relations in that an advertiser pays for and has control over the message. It differs from personal selling in that the message is non-personal, i.e., not directed to a particular individual. Advertising is communicated through various mass media, including traditional media such as newspapers, magazines, television, radio, outdoor advertising or direct mail; and new media such as search results, blogs, social media, websites or text messages. The actual presentation of the message in a medium is referred to as an advertisement or `ad` for short.
Commercial ads often seek to generate increased consumption of their products or services through `branding`, which associates a product name or image with certain qualities in the minds of consumers. On the other hand, ads that intend to elicit an immediate sale are known as direct-response advertising. Non-commercial entities that advertise more than consumer products or services include political parties, interest groups, religious organizations and governmental agencies. Non-profit organizations may use free modes of persuasion, such as a public service announcement. Advertising may also be used to reassure employees or shareholders that a company is viable or successful., wall of links.


If you want to put something else on this wall, write to us.