If you are not sure if the website you would like to visit is secure, you can verify it here. Enter the website address of the page and see parts of its content and the thumbnail images on this site. None (if any) dangerous scripts on the referenced page will be executed. Additionally, if the selected site contains subpages, you can verify it (review) in batches containing 5 pages.
favicon.ico: discoverislam.net/Sw.html - Discover Islam - Sw.

site address: discoverislam.net/Sw.html redirected to: discoverislam.net/Sw.html

site title: Discover Islam - Sw

Our opinion (on Friday 26 June 2026 10:30:03 UTC):

GREEN status (no comments) - no comments
After content analysis of this website we propose the following hashtags:



Meta tags:

Headings (most frequently used words):

nini, modal, title, ni, je, uislam, vipi, uislamu, na, wanawake, on, ya, wa, islam, mitä, muhammad, kwa, ja, waislamu, nani, jihad, the, and, other, la, qur, an, waislam, yesu, tofauti, kwanini, mikä, mungu, katika, kuwa, vita, unasema, kuhusu, haki, quran, juu, kifo, how, beliefs, muslimit, kusudi, uumbaji, wanamchukulia, maryam, mama, isa, kuenea, kuliathiri, dunia, hueleweka, kuka, kuinka, islamissa, ajattelevat, miksi, wanaamini, mwenyezi, dhumuni, kuumbwa, aina, gani, ibada, iliyoamriwa, alikuwa, alifika, malaika, wanavyomchukulia, unaheshimu, imani, zingine, ukristo, uyahudi, wana, asili, takatifu, unasimamia, za, binadam, unainuaje, hadhi, inasema, unawapa, sawa, wake, waume, imeandikwa, uama, unawaruhusu, waenezi, dini, kiisilamu, huvaa, kama, wao, unawalinda, kutokana, madhara, familia, muhimu, sana, unauchukulia, uzee, maisha, baada, us, who, were, some, of, great, muslim, scientists, thinkers, apart, from, are, there, any, sacred, sources, did, prophet, relate, to, christians, do, muslims, view, buddhism, hinduism, eastern, what, is, islamic, opinion, atheism, agnosticism, secular, miten, islamin, koraani, kuin, sanoo, niin, naisten, että, about, contact, muslimeja, uskovat, allah, elämän, tarkoitus, oli, muhammadista, tuli, jumalan, sanansaattaja, leviäminen, vaikutti, muuhun, maailmaan, millaista, palvontaa, määrätään, kunnioittaako, islamia, muita, uskomuksia, ovatko, kristinuskon, juutalaisuuden, taustat, erilaiset, jeesuksesta, usein, väärinymmärretty, onko, sama, asia, pyhä, sota, sodasta, takaa, ihmisoikeudet, perhe, tärkeä, muslimien, kannalta, nostaa, asemaa, luomisesta, tarkoituksesta, antaako, naisille, yhtäläiset, oikeudet, sanotaan, vaimoista, aviomiehistä, koraanissa, kirjoitetaan, äitiydestä, mariasta, jeesuksen, äidistä, haluaako, naiset, ovat, julkisuudessa, naisilla, poliittisia, mielipiteitä, musliminaiset, pukeutuvat, tekevät, suojelee, naisia, väkivallalta, vanhempien, ihmisten, asema, kuolemasta, sen, jälkeisestä, elämästä, shahada, kusimamisha, swala, zakka, kufunga, swaum, hijja,

Text of the page (most frequently used words):
kwa (147), the (138), katika (124), mungu (115), mwenyezi (84), and (81), qur (76), #uislam (60), zaidi (52), wanawake (50), #waislam (48), kama (45), haki (45), wake (43), watu (39), muhammad (38), kuwa (38), karibu (37), yake (34), vídeo (33), ebook (33), jifunze (33), mwenye (32), mtume (28), hakika (28), maisha (27), that (26), amani (25), wao (23), wote (23), nini (23), description (23), kiislam (22), cha (21), for (21), save (21), close (21), modal (21), title (21), wanaume (20), vipi (19), kutokana (19), ndio (19), god (19), mola (18), mmoja (18), mama (18), jihad (17), they (17), his (17), kila (16), hata (16), wala (16), juu (16), islam (15), prophet (15), mlezi (15), pale (15), zao (15), isa (15), with (15), are (14), wanaamini (14), nafsi (14), yeye (14), wema (14), moja (14), mimi (14), jamii (14), uislamu (14), yao (13), waislamu (13), into (13), from (12), siku (12), basi (12), dunia (12), mtu (12), tofauti (12), bora (12), imani (12), this (12), existence (12), were (11), kitu (11), muumba (11), kutoka (11), jina (11), familia (11), was (11), who (10), naye (10), baada (10), njia (10), nguvu (10), bali (10), kipindi (10), maryam (10), yesu (10), malaika (10), nabii (10), takatifu (10), created (10), their (10), makkah (10), beliefs (9), muslims (9), there (9), allah (9), anasema (9), bila (9), ila (9), quran (9), wazazi (9), zenu (9), mwanamke (9), pia (9), miaka (9), kabla (9), maryamu (9), aliye (9), pamoja (9), vya (9), ile (9), vita (9), ibada (9), mitä (8), other (8), muislam (8), sema (8), huruma (8), wale (8), wanao (8), ambao (8), ndiye (8), hili (8), zote (8), duniani (8), dhumuni (8), sio (8), baina (8), yako (8), hivyo (8), neno (8), kwake (8), lake (8), jambo (8), tena (8), nani (8), wenye (8), ishara (8), muhimu (8), being (8), universe (8), not (8), one (7), haya (7), wenu (7), wawili (7), toka (7), ili (7), ndani (7), yaliyo (7), baba (7), mke (7), kabisa (7), ewe (7), ambaye (7), kuishi (7), enyi (7), kupitia (7), sana (7), msingi (7), hapana (7), have (7), these (7), them (7), worship (7), people (7), mitume (7), your (6), christians (6), great (6), shaka (6), huyo (6), watoto (6), wakati (6), mkubwa (6), kifo (6), wetu (6), huu (6), anaye (6), mtoto (6), heshima (6), mali (6), yote (6), salama (6), walio (6), sehemu (6), waume (6), kwao (6), waumini (6), kwanini (6), musa (6), wengine (6), mtukufu (6), dini (6), zake (6), mwana (6), miongoni (6), mwa (6), pekee (6), alikuwa (6), yule (6), kubwa (6), kuhusu (6), ndoa (6), yenu (6), kweli (6), mataifa (6), kwamba (6), kupigana (6), swala (6), very (6), well (6), ambayo (6), ibrahim (6), ujumbe (6), dog (6), mikä (5), what (5), islamic (5), buddhism (5), eastern (5), kwako (5), wangu (5), nyumba (5), wajibu (5), rehma (5), ziwe (5), uadilifu (5), madhara (5), madinah (5), elimu (5), mema (5), sala (5), kisha (5), akasema (5), chini (5), kufunga (5), walipo (5), maneno (5), wanamchukulia (5), kupata (5), sisi (5), baadhi (5), kuumbwa (5), viumbe (5), akiwa (5), binadam (5), sababu (5), yaani (5), tano (5), hii (5), mfumo (5), question (5), would (5), come (5), first (5), something (5), had (5), over (5), known (5), perform (5), kindness (5), bah (5), asili (5), you (5), its (5), ibn (5), ulaya (5), bahrain (4), muslimit (4), asia (4), atheism (4), how (4), did (4), some (4), ajili (4), hiyo (4), yeyote (4), mwengine (4), yenye (4), mji (4), mwanaume (4), kimwili (4), mfano (4), mpaka (4), utulivu (4), kuabudiwa (4), jinsia (4), mawazo (4), wasio (4), khabari (4), isipo (4), jamaa (4), kutumia (4), vile (4), historia (4), umri (4), zaka (4), hao (4), mimba (4), nayo (4), mbali (4), hukumu (4), kuliko (4), uzao (4), sura (4), kamili (4), nguzo (4), kuna (4), kipekee (4), mwisho (4), mume (4), usawa (4), kipato (4), kufanya (4), mwanamume (4), mila (4), unasema (4), nyinyi (4), sawa (4), mwanadamu (4), kumuabudu (4), matendo (4), adam (4), kitabu (4), mcheni (4), uumbaji (4), kusudi (4), mlio (4), huo (4), mwenyewe (4), dhana (4), fikra (4), hueleweka (4), could (4), create (4), does (4), has (4), cause (4), then (4), three (4), same (4), can (4), nothing (4), faith (4), world (4), non (4), without (4), five (4), messenger (4), kukua (4), man (4), felt (4), saw (4), thirst (4), wasomi (4), kuenea (4), kingdom (3), islamissa (3), ajattelevat (3), kuinka (3), miksi (3), view (3), hinduism (3), muslim (3), scientists (3), thinkers (3), kuka (3), moto (3), wako (3), uzee (3), hishima (3), walivyo (3), kiimani (3), wazee (3), wakiishi (3), pili (3), kundi (3), mateso (3), hilo (3), akili (3), udhaifu (3), mbalimbali (3), hali (3), mavazi (3), kujilinda (3), sheria (3), hizi (3), matokeo (3), kuolewa (3), kujua (3), tupu (3), uzuri (3), leo (3), wakiwa (3), kwanza (3), jukumu (3), hekima (3), hapa (3), kufa (3), amejaalia (3), nzuri (3), popote (3), hai (3), yangu (3), mwanaadamu (3), anapo (3), iwe (3), hiki (3), nyengine (3), wazi (3), upendo (3), akamjibu (3), akauliza (3), mara (3), tatu (3), hapo (3), tumemuusia (3), hakuna (3), una (3), kulinda (3), mahari (3), mpate (3), wat (3), wingi (3), maalum (3), mazuri (3), uchamungu (3), makabila (3), kati (3), nchi (3), ulimwengu (3), hawa (3), muongozo (3), pande (3), wengi (3), tahadharini (3), inasema (3), amini (3), mno (3), kuu (3), aina (3), mwao (3), mazao (3), taifa (3), uhuru (3), ardhi (3), adhabu (3), kwenu (3), idadi (3), earth (3), idea (3), own (3), therefore (3), intention (3), towards (3), texts (3), religions (3), faiths (3), regards (3), few (3), him (3), book (3), second (3), when (3), show (3), respect (3), source (3), belief (3), said (3), kanuni (3), kuamini (3), mingi (3), manabii (3), mosque (3), living (3), wayahudi (3), ismail (3), ule (3), gani (3), zengine (3), hispania (3), furaha (3), mwaka (3), ramadhan (3), wanadamu (3), kusimamisha (3), shahada (3), fill (3), sunnah (3), jibril (3), physician (3), walikuwa (3), kuliathiri (3), wafuasi (3), mwingi (3), rehema (3), www (2), technocom (2), manama (2), 973 (2), info (2), just (2), all (2), information (2), niin (2), kuin (2), että (2), koraani (2), sanoo (2), naisten (2), miten (2), opinion (2), agnosticism (2), secular (2), relate (2), islamin (2), apart (2), any (2), sacred (2), sources (2), baadae (2), ujira (2), peponi (2), kawaida (2), nao (2), kuwajali (2), kuwakuta (2), wajukuu (2), unauchukulia (2), husema (2), tujaalie (2), tuwe (2), kamwe (2), wenza (2), ulinzi (2), uhai (2), yoyote (2), dhidi (2), marufuku (2), maana (2), moyo (2), asiye (2), badala (2), apate (2), unawalinda (2), nyingi (2), tamaduni (2), zaid (2), vibaya (2), waambie (2), wainamishe (2), macho (2), wazilinde (2), anazo (2), wanayo (2), wasionyeshe (2), vyao (2), kiisilamu (2), huvaa (2), kazi (2), viongozi (2), wanafanya (2), vizuri (2), nyanja (2), dola (2), tangu (2), sasa (2), kubeba (2), aya (2), wakubwa (2), kufundisha (2), maarufu (2), maji (2), mahujaji (2), vyema (2), maovu (2), marafiki (2), hikima (2), unawaruhusu (2), waenezi (2), shina (2), mtende (2), tende (2), lako (2), pindi (2), wakasema (2), hakuwa (2), bado (2), mdogo (2), amenijaalia (2), kubarikiwa (2), niwapo (2), ameniusia (2), maadamu (2), nimtendee (2), nitakayo (2), anakubashiria (2), litokalo (2), masihi (2), akhera (2), karibishwa (2), atazungumza (2), utoto (2), utuuzima (2), atakuwa (2), nitampata (2), hajanigusa (2), ndivyo (2), vivyo (2), huumba (2), apendacho (2), huliambia (2), likawa (2), angalia (2), amekuteuwa (2), akakutakasa (2), akakutukuza (2), anatokea (2), kumpenda (2), ushujaa (2), jinsi (2), lile (2), taabu (2), kumwachisha (2), ziwa (2), nishukuru (2), imeandikwa (2), uama (2), wanandoa (2), kutaruhusiwa (2), kimbilio (2), kuwalea (2), ana (2), kuilinda (2), kuijali (2), hana (2), kutumika (2), chake (2), msaidia (2), kulazimishana (2), vipengele (2), desturi (2), amekuumbieni (2), mapenzi (2), zipo (2), fikiri (2), iifu (2), msamaha (2), unawatambua (2), mwazo (2), kujifunza (2), kumiliki (2), kuchagua (2), kupewa (2), kubakia (2), ukoo (2), aliyozoea (2), kuomba (2), talaka (2), kurithi (2), usia (2), wametakiwa (2), kutii (2), amri (2), tumekuumbeni (2), tumekujaalieni (2), mjuane (2), unawapa (2), sote (2), kutimiza (2), mashahidi (2), fanya (2), ushahidi (2), kosa (2), walifanya (2), sahihi (2), mpango (2), kuumbeni (2), akamuumba (2), mkewe (2), akaeneza (2), kwaye (2), mnaombana (2), kuwaangalieni (2), unainuaje (2), hadhi (2), ndiyo (2), madhubuti (2), kuua (2), mbora (2), akampa (2), awe (2), rangi (2), dhulma (2), unasimamia (2), majumbani (2), makanisa (2), misikiti (2), lakini (2), hatia (2), ugaidi (2), mauaji (2), yasiyo (2), maiti (2), juhudi (2), ujumla (2), jitihada (2), viwanja (2), kokote (2), mafundisho (2), itikadi (2), upotofu (2), njema (2), iliyo (2), kutafsiri (2), khumusi (2), sifa (2), wanapinga (2), kidini (2), unamaanisha (2), wapo (2), heavens (2), asks (2), argument (2), infinity (2), uncaused (2), mean (2), exists (2), only (2), outside (2), possibilities (2), creators (2), creator (2), exist (2), block (2), itself (2), human (2), questions (2), truth (2), upon (2), divine (2), beings (2), more (2), hindu (2), society (2), years (2), like (2), nature (2), societies (2), verses (2), influences (2), highlight (2), pure (2), available (2), insult (2), those (2), quite (2), principles (2), whoever (2), jesus (2), which (2), mary (2), shall (2), received (2), heaven (2), taurati (2), nimekujieni (2), akisema (2), udongo (2), ndege (2), idhini (2), kuzaliwa (2), mnacho (2), alizaliwa (2), akawa (2), wanavyomchukulia (2), peace (2), examples (2), interfaith (2), example (2), visited (2), use (2), recognized (2), treated (2), christian (2), practice (2), while (2), king (2), kuabudu (2), jengo (2), kuabudia (2), kuswali (2), wakristo (2), mengi (2), uliopewa (2), teremshiwa (2), aliyo (2), kusilimu (2), ukristo (2), uyahudi (2), wana (2), mifano (2), utawala (2), ubaya (2), ukweli (2), uwongofu (2), unaheshimu (2), zingine (2), hija (2), fursa (2), uwezo (2), kuhiji (2), inatoa (2), mwezi (2), jua (2), kutafakari (2), kukata (2), huleta (2), uwiano (2), mapya (2), kwahiyo (2), uhusiano (2), apasaye (2), fupi (2), kwenda (2), iliyoamriwa (2), listen (2), earnest (2), almighty (2), daily (2), prayers (2), fast (2), during (2), month (2), ramadan (2), give (2), regular (2), charity (2), pilgrimage (2), afford (2), walking (2), along (2), path (2), thirsty (2), reaching (2), descended (2), drank (2), came (2), tongue (2), hanging (2), out (2), trying (2), lick (2), mud (2), quench (2), feeling (2), went (2), down (2), again (2), filled (2), shoe (2), water (2), gave (2), drink (2), forgave (2), sins (2), action (2), asked (2), rewarded (2), animals (2), reward (2), every (2), mercy (2), hadith (2), wishes (2), mkuu (2), most (2), china (2), medicine (2), father (2), modern (2), many (2), lugha (2), hisabati (2), kiarabu (2), makubwa (2), mpya (2), karne (2), kale (2), india (2), mashariki (2), kuacha (2), afrika (2), ambapo (2), tukufu (2), masanamu (2), hijra (2), mwanzo (2), tafakuri (2), wahyi (2), alifika (2), kwetu (2), mbingu (2), mtoaji (2), teremshwa (2), lenye (2), kusini (2), discoverislam (2), net (2), building (2), become (2), discover (2), organization (2), about (2), 394939, click, away, solving, technology, problems, vanhempien, ihmisten, asema, kuolemasta, sen, jälkeisestä, elämästä, suojelee, naisia, väkivallalta, musliminaiset, pukeutuvat, tekevät, haluaako, naiset, ovat, julkisuudessa, naisilla, poliittisia, mielipiteitä, mariasta, jeesuksen, äidistä, koraanissa, kirjoitetaan, äitiydestä, sanotaan, vaimoista, aviomiehistä, antaako, naisille, yhtäläiset, oikeudet, luomisesta, tarkoituksesta, nostaa, asemaa, perhe, tärkeä, muslimien, kannalta, takaa, ihmisoikeudet, sodasta, onko, sama, pyhä, sota, usein, väärinymmärretty, jeesuksesta, ovatko, kristinuskon, juutalaisuuden, taustat, erilaiset, kunnioittaako, islamia, muita, uskomuksia, millaista, palvontaa, määrätään, leviäminen, vaikutti, muuhun, maailmaan, muhammadista, tuli, jumalan, sanansaattaja, oli, elämän, tarkoitus, uskovat, muslimeja, mtihani, 185, itaonja, mauti, mtapewa, kaamili, kiyama, atakaye, epushwa, akatiwa, amefuzu, starehe, udanganyifu, akifariki, anaoshwa, ndugu, anakafiniwa, sanda, nyeupe, kusaliwa, kuzikwa, vema, ameamrisha, msimuabudu, muwatendee, akifikia, yuko, usimwambie, usiwakemee, msemo, uwainamishie, bawa, unyenyekevu, kuwaonea, useme, warehemu, nilea, utotoni, wanawajibika, kuheshimu, vitukuu, raha, mustarehe, kuwatendea, kumuabudia, dharau, utovu, adabu, kuwafanyia, kuwakera, hasa, hawajasababisha, mna, msipigane, onewa, tutoe, madhaalimu, mlinzi, kutunusuru, amesema, aliyestaarabika, anayewatendea, mshenzi, huwanyanyasa, kuwatukana, akizungumzia, aligusia, aliposema, musipige, wasaidizi, alionesha, kutowahi, kumpiga, aliwahakikishia, unapinga, unyanyasaji, uonevu, udhalimu, lolote, kiumbe, anaagiza, kufanyiwa, tokea, wanazaliwa, wanaondoka, kimaneno, kisaikolojia, kihisia, kijinsia, yanakatzwa, ilivyokuwa, kuwazulia, madai, uongo, kuharibu, wasifu, tunakumbushwa, tulivyoelezwa, msiwaletee, kuwadhiki, inayofikiwa, anapoweka, malengo, kuikabidhi, roho, linamweka, huru, vitisho, hofu, migongano, kupaswa, msiwaogope, niogopeni, vazi, linabadilika, namna, kutegemea, wanavaa, itakayowapa, staha, kuheshimika, kujistiri, yanasaidia, kukulinda, kimaadili, kiheshima, inawahusu, inalinda, nidhamu, maingiliano, mbili, wanakomboka, mgando, kufikiria, kurani, taraji, kupunguza, nguo, kujishaua, mapambo, wakijihishimu, kusikia, takaso, yafanya, unao, dhihirika, waangushe, shungi, vifua, wanafanyia, wanaharakati, wasanii, wajasiriamali, wanazuoni, wanasayansi, wafanyakazi, kijamii, walimu, iamni, wenyewe, aliwaomba, waaminifu, uongozi, hiko, wanatakiwa, wenzao, zinawazungumzia, kimatendo, balqis, malkia, sheba, ambae, aliongoza, kiuadilifu, akaamini, asiya, firauni, aliyemuokoa, inatuzindua, kuwafahamu, aisha, mwalimu, aliyebarikiwa, aliyekuwa, akitumia, zubaidah, mjenzi, mifereji, unawatangazia, inawaamuru, wabebe, wakataze, wadhamini, walinzi, huamrisha, hukataza, hushika, hutoa, humt, atawarehemu, inamzungumzia, inaposema, akachukua, akaondoka, mahali, uchungu, ukampeleka, kwenye, laiti, ningeli, nikawa, niliye, sahaulika, pakatangazwa, usihuzunike, kijito, kidogo, litikise, utakuangushia, zilizo, mbivu, kula, kunywa, litue, jicho, ukimwona, nimeweka, nadhiri, sitasema, akenda, mwanawe, amembeba, umeleta, ajabu, dada, harun, muovu, kahaba, akawaashiria, tumsemeze, yumo, hakunifanya, niwe, jeuri, mwovu, iko, niliyo, zaliwa, fufuliwa, anamuongelea, daraja, imran, haroun, kaka, amelelewa, zakaria, yahya, wanamheshimu, limeitwa, mkamilifu, kisa, hadithi, vinabainisha, ulivyomtukuza, anamuona, kioo, kilichoambatanishwa, alikwenda, kumuuliza, yupi, anastahili, akapatiwa, jibu, wamepatiwa, awatendee, amechukua, akamzaa, kuchukua, miezi, thalathini, fika, utu, uzima, akafikilia, arubaini, niwezeshe, neema, zako, ulizo, nineemesha, nitende, unayo, yapenda, unitengenezee, dhuriya, zangu, nimetubu, wameshindwa, kuachana, hupewa, vipaumbele, wadogo, wanalindana, kuaminiana, kulisha, atakamilisha, mashauriano, japo, anaweza, mumewe, nyumbani, kupika, usafi, inaendana, kuheshimiana, kupendana, mkataba, walioridhiana, upande, makubaliano, atabaki, kifamilia, aliyopatiwa, itakamilishwa, sherehe, ikitegemea, wasemao, subiri, wanyenyekevu, watoao, sadaka, funga, jihifadhi, mdhukuru, amewaandalia, inayosema, kabainisha, linalotofautisha, ubora, ambalo, kulihukumu, mchamngu, unafundisha, inatawala, wananyimwa, waliyopewa, 124, muumini, wataingia, hawatadhulumiwa, kadiri, tundu, kokwa, 164, haichumii, habebi, mzigo, mwenziwe, bustani, edeni, kulikuwana, mti, uliokatazwa, tufaha, apple, nyoka, walisikia, wakatubu, wakasamehewa, akawapa, utakaowaonesha, kumrudia, tone, dogo, manii, kugeuka, nyama, binti, huzaliwa, anatamka, kitufu, kuanzisha, linalotiliwa, mkazo, ameichukua, miwili, kwangu, marudio, wanaheshimika, hususan, wanatunukiwa, unaotolewa, iliyojidhatiti, ukuaji, kiroho, wanafamilia, lililozoeleka, kiukoo, wakiliwazana, wakilindana, kusaidiana, usimamizi, akielezea, kuweni, wasimamizi, mkitoa, kuchukiana, kusikupelekeeni, kutofanya, fanyeni, mnayo, yatenda, inafananisha, mzima, muuwa, amewauwa, ikiongelea, kibanadam, mchamungu, ameumba, wanadam, kuyaendea, vitu, kutukuzwa, haijalishi, ubaguzi, kidiplomasia, zitapogonga, mwamba, wanafahamu, ingeshinda, wasingetayarishwa, wameruhusiwa, pigwa, wamedhulumiwa, yakini, muweza, kuwasaidia, wametolewa, pasipo, wanasema, lau, hawakingi, zingeli, vunjwa, awa, masinagogi, ambamo, linatajwa, humsaidia, unaruhusu, zilizokiukwa, huko, zimewekwa, kusimamia, mchakato, zikiwemo, kutowadhuru, kutoharibu, miti, wanyama, mathalani, kujilipua, matumizi, silaha, angamizi, kadamnasi, kufedhehesha, kuatilika, kutoheshimu, vyote, vimekatazwa, kujiboresha, wewe, inayokuzunguuka, harakati, kabeba, tumbo, ujauzito, anajifungua, muda, malezi, kujituma, mwanafunzi, anatafuta, kujitolea, mfanyakazi, kikosi, zima, akijaribu, kuokoa, akihatarisha, ujasiri, anaokuwa, mwanajeshi, akitetea, asilani, lisichanganywe, isiyokuwa, nafasi, haipatikani, hutaweza, kuikuta, mahala, pengine, dalili, zinazokubalika, iliyoletwa, wapiganaji, wapingaji, uhalisia, kuulazimisha, isichukuliwe, kuieneza, japokuwa, kihistoria, wamekuwa, wakichukulia, upo, anaeleza, kitukufu, nikuonyesheni, biashara, itakayo, kuokoeni, chungu, muaminini, piganeni, jihadi, ikiwa, mnajua, inayodhaniwa, kueleweka, kirabu, linatokana, mzizi, jahada, kutokata, tamaa, yanayoweza, limetokana, wamechagua, itawale, hatahivyo, kuongezeka, wakizungumza, imezidi, kutambulika, vikali, wanawapinga, wasiofanya, unachafuliwa, makusudi, wanasiasa, vyombo, habari, vimepata, visingizio, kuuambatanisha, mtendo, kibinadamu, wamefanikiwa, wakiwapigia, kura, wakiwachangia, taasisi, kusoma, magazeti, kuangalia, chaneli, luninga, kusikiliza, vipindi, redio, iliyojaa, ghasia, hutangazwa, zisizo, wameuchukua, wakauteka, kuuharibu, maslahi, binafsi, kisiasa, kuiona, matukio, kigaidi, kuuhukumu, wachache, waliokengeuka, skies, proposition, means, implication, whether, draws, infinite, regression, ask, occam, razor, push, instance, always, existed, simplest, logical, explanation, oneself, time, nonsensical, reside, stumbling, basically, begs, anything, beforethe, power, outlines, distinct, understanding, qurán, following, lack, sure, surah, tur, speaks, directly, such, individuals, exhorts, think, placing, important, ponder, humanism, agnostic, tend, refuse, accept, outright, strongly, pushes, agnostics, take, measured, approach, sitting, fence, speak, find, solace, proclaiming, don, know, searching, empirical, evidence, remains, silent, born, wherein, multiplicity, gods, worshipped, canonical, buddhist, written, 500, after, death, gautama, buddha, both, factors, contributed, silence, confucianism, shintoism, taoism, among, others, depend, animistic, ancestor, elements, within, serve, reference, points, proper, functioning, rarely, delve, spiritual, aspects, contradict, anyway, attributes, despite, irrefutable, similarity, cultural, taken, sway, centuries, practices, methodologies, hindus, tasya, pratima, asti, likeness, rigveda, hymn, verse, refer, unity, glory, supreme, shudhama, poapvidham, bodyless, yajurveda, ekam, evadvitiyam, chandogya, upanishad, ancient, set, framework, oldest, vedas, today, upanishads, puranas, variety, post, vedic, epics, poems, plays, whom, besides, lest, wrongfully, knowledge, aam, 108, understandable, stance, takes, advises, follow, even, abrahamic, lot, core, contain, ideas, easily, recognizable, sound, familiar, indicates, probably, revelations, differences, might, actually, external, message, similarities, form, underlying, universal, believes, deity, except, alone, partner, servant, word, bestowed, spirit, proceeding, paradise, hell, true, aliyekuja, kubadili, ilifundishwa, iliyopita, walikuja, kuithibitisha, kuifufua, ilipoelekea, alisema, ninasadikisha, nikuhalalishieni, yale, harimishiwa, nit, iini, utume, alifanya, miujiza, amenukuliwa, nakuundieni, nampuliza, anakuwa, ninawaponesha, vipofu, wakoma, ninawafufua, ninakwambieni, weka, akiba, ipo, ikiwi, issa, kimiujiza, iliyomleta, alimuumba, akamwambia, wanampenda, kumheshimu, katu, hamwiti, huongezea, anapomtaja, inathibitisha, iliyopewa, ekirja, although, reach, agreement, matters, left, treaty, cooperation, given, similar, incidents, emulate, pursuit, better, relations, noteworthy, large, delegation, najran, hospitality, stayed, wanted, leave, church, services, surprised, offering, contracted, treaties, various, tribes, assured, freedom, determine, affairs, under, law, earliest, dialogue, between, occurred, near, beginning, prophethood, companions, greatly, oppressed, polytheists, sent, followers, seek, refuge, negus, abyssinia, righteous, listened, emissary, especially, anic, led, affirm, indeed, revelation, gladly, grant, asylum, sought, aliagizwa, aijenge, awali, ilijengwa, kule, mawe, lililosimamishwa, hawaabudii, mche, mraba, likiashiria, muelekeo, wakitaka, ametajwa, mikubwa, alibarikiwa, izrael, ulipotoka, walipopita, kutokea, kizazi, ametokea, haujachakachuliwa, mengine, zimetoka, inaonesha, zinavyofanana, tumemuamini, tuliyo, haak, yaakub, pewa, hatubagui, inatuonesha, mathalan, manaswara, waliishi, murua, umar, kiongozi, alipoingia, yerusalem, alikataa, kusali, kiislamu, ilipowadia, kanisa, sepulcher, alihofia, wasije, kuvunja, kujenga, usoni, amekaririwa, malipo, nitamshitaki, aliyemfanyia, uzito, kumwajibisha, alivyostahiki, aliyemnyang, anya, chochote, inadhihirisha, 256, dhamira, kiungo, utaonekana, hautafunikwa, mabavu, shariah, kwani, umekwisha, pambanuka, wanamuomba, ikifananishwa, inawapa, wafanyie, kurudi, wamezaliwa, upya, hiija, kutembelea, kusimama, arafa, nje, kuhijji, lazima, fedha


Text of the page (random words):
m fikra hiyo ya vita takatifu haipatikani kokote katika qur an wala hutaweza kuikuta mahala pengine kokote katika dalili zinazokubalika za mafundisho ya kiislam ni fikra iliyoletwa na wapiganaji vita takatifu dhidi ya wapingaji waislam katika ardhi takatifu tofauti na uhalisia jihad sio njia ya kuulazimisha uislam kwa wengine kamwe jihad isichukuliwe kama ni njia ya kuieneza itikadi ya kiislam japokuwa kihistoria na hata katika kipindi hiki baadhi ya waislamu wamekuwa wakichukulia hivyo huu upotofu wa dhana njema ya jihad upo tofauti kabisa na mafundisho ya kiislam jihad ni juhudi takatifu za kujiboresha wewe mwenyewe familia yako jamii inayokuzunguuka taifa lako na dunia kwa ujumla jihad ni jitihada za mama katika harakati zote kipindi kabeba tumbo la ujauzito wakati akiwa anajifungua na muda wote wa malezi ya mtoto ni miaka yote ya kujituma kwa mwanafunzi akiwa anatafuta elimu bora ni kujitolea kwa mfanyakazi wa kikosi cha zima moto wakati akijaribu kuokoa maisha ya wengine akihatarisha yake vile vile jihad ni ujasiri anaokuwa nao mwanajeshi katika viwanja vya vita wakati akitetea maisha yake taifa lake uhuru wake na imani yake ebook vídeo uislam unasema nini kuhusu vita uislam unaruhusu kupigana kwa kujilinda kuilinda imani yako au kupigana kutokana na haki za msingi zilizokiukwa lakini katika kupigana huko kuna sheria madhubuti zimewekwa kusimamia mchakato huo zikiwemo kutowadhuru wasio na hatia kutoharibu mazao miti na wanyama ugaidi mauaji yasiyo na mpango mathalani kujilipua matumizi ya silaha angamizi katika kadamnasi ya wote mateso yenye kufedhehesha na hata kuatilika na kutoheshimu maiti vyote vimekatazwa katika uislam mwenyezi mungu anasema katika qur an wameruhusiwa kupigana wale wanao pigwa vita kwa sababu wamedhulumiwa na kwa yakini mwenyezi mungu ni muweza wa kuwasaidia wale ambao wametolewa majumbani mwao pasipo haki ila kwa kuwa wanasema mola wetu mlezi ni mwenyezi mungu na lau kuwa mwenyezi mungu hawakingi watu kwa watu basi hapana shaka zingeli vunjwa nyumba za wat awa na makanisa na masinagogi na misikiti ambamo ndani yake jina la mwenyezi mungu linatajwa kwa wingi na bila ya shaka mwenyezi mungu humsaidia yule anaye msaidia yeye hakika mwenyezi mungu ni mwenye nguvu mtukufu qur an 22 39 40 kupigana kutaruhusiwa pindi njia zote za kidiplomasia zitapogonga mwamba waislamu wanafahamu dhulma ingeshinda duniani kama watu wema wasingetayarishwa kupigana katika njia sahihi ebook vídeo vipi uislam unasimamia haki za binadam kutokana na qur an mwenyezi mungu ameumba wanadam wote sawa na akampa kila mmoja haki kuyaendea maisha yake uhai heshima na mali katika jamii za waislam ni vitu vya kutukuzwa sana tena haijalishi mtu huyo awe muislam au sio ubaguzi wa rangi jinsia na dhulma za aina yoyote ni marufuku katika uislam qur an ikiongelea kuhusu usawa wa kibanadam inasema enyi watu hakika sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane hakika aliye mtukufu mbora zaidi kati yenu kwa mwenyezi mungu ni huyo aliye mchamungu zaidi katika nyinyi hakika mwenyezi mungu ni mwenye kujua mwenye khabari qur an 49 13 haki ya kuishi ndio haki kuu katika haki za binadam tena qur an inafananisha kuua nafsi moja ya mwanadamu ni sawa na kuua ulimwengu mzima aliye muuwa mtu basi ni kama amewauwa watu wote qur an 5 32 usimamizi wa usawa na kulinda haki za kila mmoja ni msingi katika jamii za waislam mwenyezi mungu akielezea zaidi katika qur an enyi mlio amini kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya mwenyezi mungu mkitoa ushahidi kwa haki wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu fanyeni uadilifu hivyo ndio kuwa karibu mno na uchamungu na mcheni mwenyezi mungu hakika mwenyezi mungu anazo khabari za mnayo yatenda qur an 5 8 ebook vídeo kwa nini familia ni muhimu sana kwa waislamu familia ndio msingi wa jamii ya kiislam ulinzi na amani unaotolewa na familia iliyojidhatiti ni jambo la muhimu sana kwa ukuaji wa kiroho wa wanafamilia ni jambo lililozoeleka kwa jamii za kiislam kuwakuta wakiishi kiukoo pamoja wakiliwazana wakilindana na kusaidiana wazazi wanaheshimika sana katika uislam hususan mama ambao wanatunukiwa zaidi mwenyezi mungu anasema katika qur an na tumemuusia mtu kwa wazazi wake wawili mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu na kumwachisha ziwa baada ya miaka miwili tumemuusia nishukuru mimi na wazazi wako ni kwangu mimi ndiyo marudio qur an 31 14 kufunga ndoa na kuanzisha familia ni jambo linalotiliwa mkazo sana na katika ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu hakika katika haya bila ya shaka zipo ishara kwa watu wanao fikiri qur an 30 21 ebook vídeo je uislamu unainuaje hadhi ya wanawake dhumuni la kuumbwa mwanadamu sote wake kwa waume ni kumuabudu mwenyezi mungu kupitia imani na matendo mema kutimiza wajibu kama viumbe wake bora na mashahidi katika ulimwengu huu enyi watu mcheni mola wenu mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi na tahadharini na mwenyezi mungu ambaye kwaye mnaombana na jamaa zenu hakika mwenyezi mungu ni mwenye kuwaangalieni qur an 4 1 uislam unawatambua wanawake kama watu wenye haki maalum miongoni mwazo ni haki ya kuishi haki ya kujifunza haki ya kupata kipato kumiliki na kutumia kitu haki ya kuchagua mume haki ya kupewa mahari haki ya kubakia na jina lake la ukoo haki kama mke kuishi maisha mazuri aliyozoea kabla ya kuolewa haki ya kuomba talaka haki ya kurithi na haki katika usia wanawake kama walivyo wanaume wametakiwa na mungu maisha yenye kutii amri ebook vídeo je quran inasema nini juu ya uumbaji na kusudi la wanawake kutoka katika tone dogo la manii na kugeuka kuwa pande la nyama binti huzaliwa na kuwa sehemu ya mpango ya mola muumba mwenyezi mungu anatamka katika kitabu kitufu cha waislam qur an kwamba enyi watu mcheni mola wenu mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi na tahadharini na mwenyezi mungu ambaye kwaye mnaombana na jamaa zenu hakika mwenyezi mungu ni mwenye kuwaangalieni qur an 4 1 kwa ushahidi wa qur an katika bustani ya edeni kulikuwana mti uliokatazwa wala sio tufaha apple nyoka na wala si kosa la hawa pekee bali wote adam na hawa walifanya kosa kwa pamoja walisikia haya wakatubu na wakasamehewa kwa pamoja mola muumba akawapa muongozo utakaowaonesha njia sahihi ya kumrudia yeye na kila nafsi haichumii ila nafsi yake na habebi mwenye kubeba mzigo wa mwenziwe qur an 6 164 na anaye fanya mema akiwa mwanamume au mwanamke naye ni muumini basi hao wataingia peponi wala hawatadhulumiwa hata kadiri ya tundu ya kokwa ya tende qur an 4 124 dhumuni la kuumbwa mwanadamu sote wake kwa waume ni kumuabudu mwenyezi mungu kupitia imani na matendo mema kutimiza wajibu kama viumbe wake bora na mashahidi katika ulimwengu huu ebook vídeo je uislamu unawapa wanawake haki sawa ndio bila shaka uislam unafundisha usawa baina ya wanawake na wanaume hata hivyo katika baadhi ya nchi au jamii za kiislam mila ya mwanaume kuwa na nguvu ndio inatawala na wanawake wananyimwa haki yao waliyopewa na mungu hakuna sehemu katika qur an inayosema jinsia moja ni bora kuliko nyengine mwenyezi mungu kabainisha wazi kuwa linalotofautisha baina ubora watu ni uchamungu jambo ambalo yeye pekee ndiye mwenye kulihukumu enyi watu hakika sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke na tumekujaalieni kuwa ni mataifa na makabila ili mjuane hakika aliye mtukufu zaidi kati yenu kwa mwenyezi mungu ni huyo aliye mchamngu zaidi katika nyinyi hakika mwenyezi mungu ni mwenye kujua mwenye khabari qur an 49 13 uislam unawatambua wanawake kama watu wenye haki maalum miongoni mwazo ni haki ya kuishi haki ya kujifunza haki ya kupata kipato kumiliki na kutumia kitu haki ya kuchagua mume haki ya kupewa mahari haki ya kubakia na jina lake la ukoo haki kama mke kuishi maisha mazuri aliyozoea kabla ya kuolewa haki ya kuomba talaka haki ya kurithi na haki katika usia wanawake kama walivyo wanaume wametakiwa na mungu maisha yenye kutii amri hakika waislamu wanaume na waislamu wanawake na waumini wanaume na waumini wanawake na wat iifu wanaume na wat iifu wanawake na wasemao kweli wanaume na wanawake na wanao subiri wanaume na wanawake na wanyenyekevu wanaume na wanawake na watoao sadaka wanaume na wanawake na wanao funga wanaume na wanawake na wanao jihifadhi tupu zao wanaume na wanawake na wanao mdhukuru mwenyezi mungu kwa wingi wanaume na wanawake mwenyezi mungu amewaandalia msamaha na ujira mkubwa qur an 33 35 ebook vídeo je uislamu unasema nini juu ya wake na waume katika ishara zake ni kuwa amekuumbieni wake zenu kutokana na nafsi zenu ili mpate utulivu kwao naye amejaalia mapenzi na huruma baina yenu hakika katika haya bila ya shaka zipo ishara kwa watu wanao fikiri qur an 30 21 ndoa inaendana na kuheshimiana na kupendana ndoa ya kiislam ni mkataba takatifu katika ya mwanamume na mwanamke walioridhiana hakuna kulazimishana na kila upande una haki ya kulinda vipengele vya makubaliano yao mke atabaki na jina lake la kifamilia na pia ana haki katika mahari yake aliyopatiwa ndoa ya kiislam itakamilishwa kwa sherehe ikitegemea na mila na desturi mume na mke wanalindana wao kwa wao ni wenza wenye usawa na marafiki bora baina ya wao kwa wao wakiishi kwa kuaminiana mume ana jukumu la kulisha kuilinda na kuijali familia atakamilisha wajibu wake kwa huruma na mashauriano mke hana wajibu wa kutumika mali au kipato chake japo anaweza msaidia mumewe wanandoa wote wanafanya kazi za nyumbani pamoja kama kupika kufanya usafi na kuwalea watoto wao katika wema kama wanandoa wameshindwa kuishi kwa amani pamoja kuachana kwa wema kutaruhusiwa kama kimbilio la mwisho kabisa mama ndio hupewa vipaumbele katika kuwalea watoto wadogo ebook vídeo imeandikwa nini katika quran kuhusu uama na tumemuusia mwanaadamu awatendee wema wazazi wake wawili mama yake amechukua mimba yake kwa taabu na akamzaa kwa taabu na kuchukua mimba kwake hata kumwachisha ziwa ni miezi thalathini hata anapo fika utu uzima wake na akafikilia miaka arubaini husema mola wangu mlezi niwezeshe nishukuru neema zako ulizo nineemesha mimi na wazazi wangu na nitende mema unayo yapenda na unitengenezee dhuriya zangu hakika mimi nimetubu kwako na mimi ni miongoni mwa waislamu qur an 46 15 mama wamepatiwa heshima kubwa ya kipekee katika uislam siku moja kuna mtu alikwenda kwa mtume muhammad na kumuuliza ewe mtume wa allah yupi katika watu anastahili nimtendee wema zaidi mtume akamjibu mama yako yule mtu akauliza tena kisha nani mtume akamjibu mama yako tena yule mtu akauliza tena kwa mara ya tatu na akapatiwa jibu lile lile baada ya hapo akauliza tena kisha nani hapo ndio mtume rehma na amani ziwe juu yake akamjibu baba yako kisa hiki pamoja na aya za qur an na hadithi nyengine kutoka katika maisha ya mtume vinabainisha wazi jinsi uislam ulivyomtukuza mama muislam anamuona mama kama kioo cha nguvu na ushujaa kilichoambatanishwa huruma na upendo ebook vídeo vipi waislam wanamchukulia maryam mama wa yesu isa waislam wanamheshimu na kumpenda maryam maryam mama wa mtume isa amani iwe juu yao wote ndiye mwanamke pekee ambaye jina lake limeitwa sura kamili katika qur an alikuwa mwanamke mkamilifu nguzo ya nguvu na ushujaa mwenye elimu na hekima aliye na huruma maryam anatokea familia ya imran uzao wa haroun kaka yake musa amelelewa na nabii zakaria baba wa nabii yahya mwenyezi mungu anamuongelea maryam katika qur an kwa maneno ya daraja la juu na angalia pale malaika walipo sema ewe maryamu kwa hakika mwenyezi mungu amekuteuwa na akakutakasa na akakutukuza kuliko wanawake wote na pale malaika walipo sema ewe maryamu hakika mwenyezi mungu anakubashiria mwana kwa neno litokalo kwake jina lake ni masihi isa mwana wa maryamu mwenye hishima katika dunia na akhera na miongoni mwa walio karibishwa kwa mwenyezi mungu naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake na atakuwa katika watu wema maryamu akasema mola wangu mlezi vipi nitampata mwana na hali hajanigusa mwanaadamu mwenyezi mungu akasema ndivyo vivyo hivyo mwenyezi mungu huumba apendacho anapo hukumu jambo huliambia kuwa likawa qur an 3 42 45 7 qur an inamzungumzia maryam zaid pale inaposema basi akachukua mimba yake na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende akasema laiti ningeli kufa kabla ya haya na nikawa niliye sahaulika kabisa pakatangazwa kutoka chini yake usihuzunike hakika mola wako mlezi amejaalia chini yako kijito kidogo cha maji na litikise kwako hilo shina la mtende utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu basi kula na kunywa na litue jicho lako na pindi ukimwona mtu yeyote basi sema hakika mimi nimeweka nadhiri kwa mwenyezi mungu ya kufunga kwa hivyo leo sitasema na mtu akenda naye mwanawe kwa jamaa zake amembeba wakasema ewe maryamu hakika umeleta kitu cha ajabu ewe dada yake harun baba yako hakuwa mtu muovu wala mama yako hakuwa kahaba akawaashiria mtoto wakasema vipi tumsemeze aliye bado mdogo yumo katika mlezi na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo na ameniusia sala na zaka maadamu ni hai na amenijaalia ni mwenye kubarikiwa popote pale niwapo na ameniusia sala na zaka maadamu ni hai na nimtendee wema mama yangu wala hakunifanya niwe jeuri mwovu na amani iko juu yangu siku niliyo zaliwa na siku nitakayo kufa na siku nitakayo fufuliwa kuwa hai qur an 19 22 33 ebook vídeo je uislam unawaruhusu wanawake kuwa waenezi wa dini kwa hakika uislam sio tu unawatangazia bali pia inawaamuru wanawake na wanaume wabebe jukumu la kutumia akili zao vyema wakataze maovu kama wadhamini wa mwenyezi mungu hapa duniani na waumini wanaume na waumini wanawake wao kwa wao ni marafiki walinzi huamrisha mema na hukataza maovu na hushika sala na hutoa zaka na humt ii mwenyezi mungu na mtume wake hao mwenyezi mungu atawarehemu hakika mwenyezi mungu ni mtukufu mwenye nguvu mwenye hikima qur an 9 71 aya nyingi za qur an zinawazungumzia wanawake wema katika kutumia akili na kimatendo kama vile maryam mama wa isa yesu balqis malkia wa sheba ambae aliongoza kiuadilifu na akaamini kwa mungu mmoja na asiya mke wa firauni aliyemuokoa mtume musa historia pia inatuzindua kuwafahamu wanawake wema wakubwa wengine kama aisha mwalimu aliyebarikiwa elimu na hekima aliyekuwa mke wa mtume na akitumia umri wake kwa zaidi ya miaka 50 kufundisha watu pia zubaidah mjenzi maarufu wa mifereji ya maji kwa ajili ya mahujaji katika dola ya kwanza ya kiislam pale madinah mtume muhammad aliwaomba wanawake mmoja mmoja kuwa waaminifu kwa uislam na kwa uongozi wake wanawake tangu kipindi hiko mpaka sasa wanatakiwa kubeba jukumu hili katika jamaa kama wenzao wanaume wanawake wa kiislam leo wanafanyia kazi jamii wakiwa kama wanaharakati wasanii wajasiriamali viongozi wanazuoni wanasayansi wafanyakazi wa kijamii na walimu pia wanawake wa kiislam wanafanya vizuri katika nyanja zote sio kutokana na iamni yao bali kwa wao w...
Thumbnail images (randomly selected): * Images may be subject to copyright.GREEN status (no comments)
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...
  • A generic square placehol...

Verified site has: 3 subpage(s). Do you want to verify them? Verify pages:

1-3


Top 50 hastags from of all verified websites.

Supplementary Information (add-on for SEO geeks)*- See more on header.verify-www.com

Header

HTTP/1.1 301 Moved Permanently
Content-Type text/html; charset=UTF-8
Location htt????/discoverislam.net/Sw.html
Date Fri, 26 Jun 2026 10:30:00 GMT
Connection close
Content-Length 156
HTTP/2 200
cache-control max-age=86400
content-type text/html
content-encoding gzip
last-modified Fri, 10 Apr 2026 19:51:12 GMT
accept-ranges bytes
etag 0f876223c9dc1:0
vary Accept-Encoding
date Fri, 26 Jun 2026 10:30:02 GMT
content-length 32106

Meta Tags

title="Discover Islam - Sw"
charset="utf-8"
name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1.0, shrink-to-fit=no"
property="og:type" content="website"
name="theme-color" content="#e5a72d"
name="msapplication-navbutton-color" content="#e5a72d"
name="apple-mobile-web-app-capable" content="yes"
name="apple-mobile-web-app-status-bar-style" content="#e5a72d"

Load Info

page size32106
load time (s)1.130965
redirect count1
speed download28412
server IP 132.148.78.192
* all occurrences of the string "http://" have been changed to "htt???/"