Meta tags:
Headings (most frequently used words):
africa, the, 2026, on, july, and, of, na, ya, for, wednesday, to, fyatu, curse, salvation, thursday, blog, who, how, must, is, story, with, south, born, magufuli, global, war, or, soul, sale, kkkk, ndoa, haki, sunday, august, 29, 23, 15, saturday, 11, tuesday, 30, june, cordially, unlimitedly, welcome, this, wiled, us, https, africanbookscollective, com, books, dumela, rra, duma, boko, hail, mama, swapo, nandi, ndaitwah, love, my, country, tanzania, gen, internet, revolution, cry, ambazonia, darfur, berlin, conference, clung, what, do, liberal, peace, conflict, gender, peacebuilding, yoo, hoo, yowling, stories, chant, savant, contemporary, food, insecurity, self, inflicted, wounds, through, modern, veni, vidi, vici, land, deal, blats, its, true, decolonisation, epistle, afrophobic, magufulification, nude, total, pageviews, heko, rais, decolonising, education, kudos, president, jokey, horse, jockey, north, rapport, diagnostic, cum, prognostic, academic, perspectives, truly, family, friend, animals, matembezi, mbuga, wanyama, our, heritage, developed, europe, deconstructing, his, excavating, untold, truth, dependency, syndrome, can, turn, things, around, better, it, terror, terra, africana, perpetual, search, best, worst, presidents, psalm, oppressed, reunite, perish, voice, nyuma, pazia, we, are, one, saa, ukombozi, feel, at, home, most, read, posts, followers, archive, about, me, ukiona, hivi, jua, uchumi, wa, fyatuland, umekua, kukosana, katika, yaweza, kuwa, fursa, uteuaji, utenguaji, unavyonifyatua, uchafu, ufuska, mkwe, kuoa, mkamwana, sera, uchawi, unafiki, usanii, urongo, kuleta, kwanza, amani, baadae, wanandoa, kutendeana, wema, si, hisani, letter, muhoozi, media, blackouts, kuwafyatua, wateule, wajigongao, kujikomba, vitu, muhimu, kufikiria, kabla, tuchangamkie, misaada, dunia, imebadilika, tusiwacheke, kuwahukumu, watalaka,
Text of the page (most frequently used words):
kwa (144), kama (99), the (84), kuwa (79), ndoa (59), haki (56), mafyatu (56), amani (52), hata (50), bila (47), kwenye (46), you (43), and (39), wala (36), kila (36), wakati (33), #katika (30), hivyo (30), nani (27), wake (27), mambo (27), fyatu (26), ili (26), july (25), cha (25), hii (25), tena (25), japo (25), haya (24), yake (23), njuluku (23), siyo (23), your (23), nini (22), kwanini (21), hili (21), june (20), august (20), that (20), november (19), december (19), january (19), february (19), march (19), april (19), may (19), hivi (19), bali (19), for (19), vile (19), misaada (19), mbali (19), september (18), october (18), kuna (18), wote (18), wao (18), hadi (18), lazima (18), kweli (17), yao (17), hakuna (17), kuliko (17), mimi (16), this (16), who (16), maisha (16), pamoja (16), baada (16), baba (15), kitu (15), ndugu (15), hasa (15), juu (15), kwanza (15), mie (15), wangu (15), moja (14), africa (14), nkwazi (14), mhango (14), wanandoa (14), kabla (14), hapa (14), tatizo (14), hizi (14), sasa (14), kujua (14), hayo (14), mmoja (14), hawa (13), are (13), wengine (13), mengi (13), wengi (13), wawili (13), ambayo (13), ukweli (13), sera (13), uchafu (13), kufanya (12), comments (12), posted (12), chanzo (12), kwani (12), yote (12), eti (12), hapo (12), dini (12), know (12), mwananchi (11), juzi (11), maana (11), tatu (11), tofauti (11), huu (11), pia (11), god (11), sana (11), sifa (11), kaya (11), uganda (11), fyatuland (10), ambao (10), tokana (10), lakini (10), malengo (10), ndiyo (10), mengine (10), kawaida (10), kumbe (10), kufyatuka (10), akili (10), mila (10), mwenye (10), power (10), ugandans (10), mtoto (10), mkwe (10), 2026 (9), zaidi (9), binadamu (9), huyu (9), most (9), must (9), what (9), wahusika (9), pili (9), wazi (9), kwamba (9), mfano (9), mbaya (9), kuishi (9), kisa (9), kazi (9), kuwafyatua (9), leo (9), yetu (9), dingi (9), sir (9), uzwazwa (9), media (9), mkamwana (9), muda (8), zao (8), ambaye (8), with (8), watoto (8), not (8), good (8), their (8), watu (8), kuwacheka (8), kiasi (8), wenye (8), sisi (8), mtu (8), ila (8), gani (8), pale (8), kutokana (8), zwazwa (8), muhimu (8), sababu (8), huwa (8), mkubwa (8), usanii (8), mazwazwa (8), general (8), kutendeana (8), yeyote (8), mamlaka (8), kukosana (7), aina (7), maji (7), all (7), mitumba (7), kuanza (7), time (7), huruma (7), fulani (7), kutegemea (7), kutoa (7), nyinyi (7), kuoa (7), mwenzio (7), basi (7), mwenyewe (7), halafu (7), dear (7), like (7), father (7), powerful (7), kutaka (7), mke (7), wadudu (7), rahis (7), matatizo (7), baadhi (6), mungu (6), nyumba (6), licha (6), one (6), can (6), things (6), kuolewa (6), rahisi (6), badala (6), vya (6), swali (6), makubwa (6), makosa (6), wanaweza (6), uongo (6), tabia (6), tano (6), mwingine (6), nao (6), wana (6), nne (6), hiyo (6), zake (6), sehemu (6), jambo (6), yenye (6), unafiki (6), kule (6), utakuta (6), them (6), mjue (6), yaani (6), wapi (6), ududu (6), uchawi (6), wanene (6), makabila (6), hatua (6), kukaa (6), kimya (6), fursa (5), jamii (5), welcome (5), have (5), hiki (5), kubwa (5), namna (5), vipi (5), yapo (5), matokeo (5), kuamua (5), wapo (5), wasijue (5), imani (5), ilhali (5), kufyatua (5), sita (5), wakweli (5), uchwara (5), ufyatu (5), wale (5), suala (5), yangu (5), kadhalika (5), wewe (5), vizuri (5), jtano (5), kuona (5), wajibu (5), uteuzi (5), they (5), kupata (5), kukubali (5), hali (5), alikuwa (5), walikuwa (5), nataka (5), ambapo (5), ufuska (5), kashfa (5), wazazi (5), kununiana (5), kutatua (5), jua (4), mchafu (4), matapeli (4), ingawa (4), mkuu (4), hasira (4), haja (4), president (4), home (4), mdogo (4), siku (4), more (4), when (4), how (4), made (4), african (4), again (4), nyuma (4), his (4), mama (4), but (4), jpili (4), kuu (4), kwao (4), kutenda (4), matarajio (4), mara (4), mosi (4), kujifanya (4), jibu (4), kusema (4), hao (4), wenyewe (4), kudumu (4), hutegemea (4), heri (4), kujitegemea (4), kuku (4), sungura (4), sizitaki (4), mbichi (4), utegemezi (4), hovyo (4), dunia (4), imebadilika (4), vitu (4), urongo (4), mwisho (4), kati (4), uwezo (4), tuyaache (4), ndizi (4), iwe (4), kufikiri (4), zetu (4), husika (4), binafsi (4), ambazo (4), kwangu (4), bonge (4), wajue (4), vitegemezi (4), ulaji (4), wenu (4), ajabu (4), kuomba (4), tayari (4), nina (4), kupewa (4), majambazi (4), ujambazi (4), sipendi (4), let (4), son (4), chakula (4), kujibu (4), inawezekana (4), hisani (4), tuseme (4), vinginevyo (4), kutenzana (4), kuwapo (4), zangu (4), hizo (4), kutembea (4), mbona (4), kukosea (4), matukio (4), about (3), ukiona (3), uchumi (3), kkkk (3), blog (3), utapeli (3), rule (3), napanga (3), maneno (3), take (3), posts (3), story (3), think (3), bin (3), shall (3), anything (3), man (3), tumalizie (3), kujiuliza (3), pigo (3), kuwaonea (3), yawe (3), kesho (3), jiulize (3), wasiojua (3), uhalisia (3), kuvunjika (3), wasio (3), aibu (3), hasara (3), kuumizana (3), anaweza (3), kuacha (3), kushuhudia (3), bahati (3), wanajua (3), hawajui (3), nyingine (3), zote (3), jana (3), maulaji (3), kumi (3), kale (3), yale (3), kuzalisha (3), ana (3), ndege (3), ubongo (3), mjanja (3), ombe (3), lini (3), mwana (3), kufyatuliwa (3), yule (3), utamaduni (3), maelezo (3), pini (3), kufuja (3), achilia (3), kula (3), akiwa (3), ndani (3), ima (3), kimapokeo (3), kukamilisha (3), ambalo (3), ina (3), ungekuwa (3), jiografia (3), wafuasi (3), asiye (3), ugumu (3), makini (3), wakiwa (3), tuanze (3), nayo (3), kuficha (3), kana (3), kudurusu (3), kiumbe (3), duniani (3), ugonjwa (3), kuniita (3), langu (3), kijamii (3), mifyatu (3), magunia (3), balaa (3), mkome (3), kununua (3), jitu (3), wachache (3), mafisadi (3), mafisi (3), kupiga (3), ukatili (3), sitaki (3), bunga (3), wednesday (3), sage (3), need (3), dad (3), way (3), big (3), consider (3), mean (3), those (3), everybody (3), get (3), been (3), significance (3), kadri (3), wema (3), sawa (3), kumtii (3), upendo (3), raha (3), kupendana (3), kuoana (3), jina (3), kuwepo (3), huku (3), maswali (3), kuivunja (3), tujiulize (3), njia (3), kuleta (3), madude (3), utadhani (3), uroho (3), akina (3), inahitaji (3), msaada (3), kusahau (3), kuanzia (3), wanafiki (3), wezi (3), natangaza (3), mnafiki (3), haramu (3), kuanzisha (3), nilikuwa (3), kodi (3), hawataki (3), ufisadi (3), huitwa (3), aitwaye (3), obasanjo (3), mwanae (3), mkewe (3), kadhia (3), adabu (3), yenu (3), nitakavyo (3), urahis (3), shosti (3), wafyatuke (3), mgogoro (3), kusababisha (3), kuchukua (3), ulimbukeni (3), kumwaga (3), mabulungutu (3), 2008 (2), 399 (2), 2025 (2), yaweza (2), umekua (2), kumezuka (2), tumbo (2), kumtumia (2), mwenyezi (2), waziri (2), pinda (2), maiti (2), kikwete (2), picha (2), nyangumi (2), kutupwa (2), mahekalu (2), becoming (2), better (2), life (2), kuuza (2), siasa (2), always (2), epistle (2), after (2), soul (2), sale (2), born (2), psalm (2), oppressed (2), presidents (2), global (2), war (2), around (2), truth (2), children (2), book (2), kitabu (2), family (2), friend (2), south (2), magufuli (2), rais (2), its (2), through (2), curse (2), salvation (2), than (2), share (2), same (2), once (2), kuachika (2), kitanda (2), hujui (2), kuwasimanga (2), kuwasaidia (2), kitabia (2), uchoyo (2), anajua (2), viatu (2), dogo (2), mafunzo (2), wenzangu (2), tuwe (2), utu (2), toka (2), asili (2), ipo (2), ndipo (2), kichwa (2), kushindwa (2), ridhiko (2), nyingi (2), kuachwa (2), kuchukia (2), maumivu (2), wasi (2), kupanga (2), wanasherehekea (2), kutuonyesha (2), waathirika (2), peke (2), ushirika (2), kimsingi (2), madogo (2), viapo (2), gumu (2), bange (2), hadithi (2), upuuzi (2), kujiridhisha (2), tangia (2), tumekuwa (2), lukuki (2), tembo (2), maguvu (2), kuweza (2), kuweka (2), chake (2), vyake (2), mdomoni (2), uwe (2), tuache (2), akilini (2), tarampu (2), wese (2), tumeacha (2), kupenda (2), misafara (2), mirefu (2), ndinga (2), kudai (2), mzima (2), mchana (2), kweupe (2), tangu (2), watoa (2), njaa (2), saba (2), mataahira (2), ukosefu (2), busara (2), sanaa (2), mazingaombwe (2), mhusika (2), waliogoma (2), kuachana (2), kiakili (2), kujifyatua (2), ufahamu (2), vilivyo (2), vibaya (2), nzuri (2), rongorongo (2), mwenzenu (2), niulize (2), kifyatufyatu (2), kupigwa (2), mazabe (2), unawezaje (2), ufupi (2), mbivu (2), alisema (2), system (2), thursday (2), hisia (2), tunafanya (2), tunaweza (2), mchango (2), kujidanganya (2), ujue (2), mwenzako (2), anapaswa (2), upande (2), kimoja (2), waliofanya (2), hebu (2), anajikuta (2), ghafla (2), milima (2), kuchagua (2), wenzao (2), magumu (2), kumuona (2), linawezekana (2), unyeti (2), utata (2), kufunga (2), kuingilia (2), apo (2), tumewahi (2), kuhusiana (2), undani (2), tutadurusu (2), kuingia (2), muungu (2), najua (2), machezo (2), hayatawasaidia (2), kuwaumiza (2), nawashauri (2), kukosa (2), msomi (2), profesa (2), kuniingiza (2), kizwazwa (2), machukizo (2), yoyote (2), nimalizie (2), wanaofanya (2), zenu (2), tapeli (2), kipuuzi (2), dili (2), wapenda (2), mzee (2), msikivu (2), amefanya (2), komeni (2), kuniombea (2), siko (2), niache (2), nyie (2), mihadarati (2), mkiwa (2), shahada (2), unakuta (2), phd (2), mfyatuzi (2), kisiasa (2), ndefu (2), linanisifia (2), macho (2), walio (2), mijambazi (2), sijui (2), ukiachia (2), ubunifu (2), nimekuwa (2), wizi (2), utumwa (2), vyao (2), kitapeli (2), nazo (2), nalo (2), kike (2), kukomaa (2), mtandaoni (2), washirika (2), kujikomba (2), wateule (2), waters (2), whether (2), office (2), brace (2), come (2), people (2), ding (2), nothing (2), methinks (2), themselves (2), happen (2), simple (2), also (2), behind (2), has (2), want (2), why (2), tweets (2), preparing (2), psychologically (2), such (2), trying (2), over (2), uncertainties (2), governance (2), stop (2), since (2), believe (2), told (2), sins (2), many (2), live (2), propose (2), don (2), will (2), thinking (2), out (2), saying (2), mother (2), law (2), muhoozi (2), bite (2), long (2), world (2), rest (2), without (2), trinity (2), from (2), now (2), gave (2), accept (2), kwenu (2), sawia (2), kupeana (2), usiku (2), utapata (2), waweza (2), mwishowe (2), ukitenda (2), kumdhulumu (2), mwenzake (2), kupokea (2), unajifanyia (2), kile (2), mume (2), anataka (2), amtii (2), yeye (2), tuna (2), usemi (2), kwetu (2), sambamba (2), maarufu (2), lugha (2), mikono (2), essence (2), tunaijua (2), nje (2), tunajua (2), karaha (2), hitajio (2), kutia (2), baya (2), miujiza (2), kifanyike (2), sheria (2), taratibu (2), inaweza (2), kushamiri (2), ubabaishaji (2), uovu (2), tunu (2), wawafyatuao (2), uwazi (2), ngoja (2), maprofesa (2), gari (2), kiroho (2), wako (2), hayana (2), mabambataa (2), kuambiwa (2), kutetea (2), inawezekanaje (2), uwajibikaji (2), haiwezi (2), kumfyatua (2), ambavyo (2), uzi (2), aka (2), kuwakomesha (2), iweje (2), baadae (2), tazamia (2), kunywa (2), nilikokuwa (2), ziarani (2), waje (2), niwape (2), wanaojifanya (2), ajue (2), nimesoma (2), kitab (2), rasmi (2), roho (2), kelele (2), mbele (2), nikiwa (2), kufikirika (2), bwana (2), sijali (2), siri (2), wachafu (2), kufichua (2), ziara (2), wanifyatue (2), wawe (2), yupo (2), usafi (2), maajabu (2), wowote (2), tukishangaa (2), chafu (2), kabila (2), anko (2), lake (2), nchini (2), binti (2), nchi (2), kupitia (2), gonjwa (2), kumuoa (2), kuwaacha (2), mali (2), sikosei (2), utenguzi (2), inawahusu (2), kosa (2), nikimteua (2), malaika (2), utenguaji (2), zamu (2), nijali (2), wivu (2), kueleza (2), vigezo (2), kunifyatua (2), kuteua (2), kutengua (2), iliyopita (2), ukubwa (2), kuyatatua (2), ubora (2), udhaifu (2), welewa (2), mkikosana (2), kuviziana (2), ushahidi (2), kukwepana (2), hukosana (2), mno (2), ukimya (2), kukwepa (2), haraka (2), kuzidi (2), kukua (2), kuuliza (2), walianza (2), kuepukana (2), kutengana (2), husababisha (2), mitandaoni (2), haiwezekani (2), kapuku (2), sharubu (2), lifestyle (2), audit (2), misongamano (2), miradi (2), wakwasi (2), tuelewe (2), kuonyesha (2), ukapuku (2), fear (2), travel, theme, powered, blogger, view, complete, profile, 2007, 191, 163, 2009, 205, 2010, 261, 2011, 119, 597, 2012, 2013, 502, 2014, 2015, 269, 2016, 306, 2017, 162, 2018, 160, 2019, 290, 2020, 323, 2021, 208, 2022, 118, 2023, 2024, archive, followers, mtindo, rejareja, wachumia, kumtania, ujamb, wachungaji, fisi, mbwa, mwitu, kilio, mizengo, peter, kayanza, kinaonekana, kuyeyusha, watanzania, kudodosa, kulia, hakutoshi, awajibike, walioko, madarakani, mkiabudiwa, miungu, sanamu, kumbukeni, vijana, zinaoza, jangwani, ungewaambia, chochote, lolote, wamkumbuka, jakaya, pea, charity, begins, iliyotolewa, humpback, alikumbwa, ufukwe, bahari, pasifiki, eneo, akutwa, amekufa, ufukweni, taarifa, maliasili, utalii, ezekiel, maige, alinunua, shilingi, bilioni, kuwastua, wananchi, tutataifisha, king, kings, gaddaffi, seven, day, 40th, anniversary, libya, strongman, autocratic, charade, elections, gabon, where, despotic, nepotistic, deeply, muse, arrogant, brutal, cabal, hoity, toity, coverted, con, men, ccm, tirelessly, hoodwinking, dividing, bitter, mtumba, nimechoshwa, mitupu, last, chicken, coming, roost, french, authorities, groundbreaking, decision, culling, three, corrupt, presid, sarkozy, fat, cats, move, read, infinitum, feel, saa, ukombozi, pazia, voice, new, approach, towards, empowering, reunite, perish, best, worst, perpetual, search, terror, terra, africana, dependency, syndrome, turn, developed, europe, deconstructing, excavating, untold, our, heritage, matembezi, mbuga, wanyama, animals, jokey, horse, jockey, north, rapport, diagnostic, cum, prognostic, academic, perspectives, truly, kudos, decolonising, education, heko, total, pageviews, nude, magufulification, afrophobic, deal, blats, true, decolonisation, contemporary, food, insecurity, self, inflicted, wounds, modern, veni, vidi, vici, land, chant, savant, stories, yoo, hoo, yowling, liberal, peace, conflict, gender, peacebuilding, berlin, conference, clung, cry, ambazonia, darfur, gen, internet, revolution, love, country, tanzania, hail, swapo, nandi, ndaitwah, https, africanbookscollective, com, books, dumela, rra, duma, boko, wiled, canada, wisdom, brings, profit, wise, suffer, thoughts, constructive, others, even, worse, bullets, thinkers, ones, constructively, manumission, adams, regardless, diversity, mwl, writing, reading, two, different, processes, which, goal, educate, communicate, entertain, pleasure, guest, tablet, thus, warmly, ideas, importantly, eminently, there, amiss, advance, please, donate, allow, humbly, kindly, half, cordially, unlimitedly, subscribe, atom, older, wanaoacha, huoa, tuwaoneeni, kusisitiza, walioachana, kuwatendea, usicholalia, kunguni, kuhukumu, kulaumu, kutweza, ushawahi, ningekuwa, ningependa, nichukuliweje, kipindi, kigumu, imevunjika, wagonjwa, kuwalaumu, anayependa, ivunjike, wanavunja, ujinga, kimalezi, kimahusiano, kiuchumi, kitaaluma, ubinafsi, upumbavu, kutojali, mkamilifu, vaeni, lenye, ingekuwa, ningetaka, wanifanyie, kunichukuliaje, tushukuru, hatupitii, wanayopitia, tujifunze, kuwabaghaza, hujafa, hujaumbika, inayowazunguka, makala, kinapoingia, kugusa, pabaya, kuwaona, imesambaratika, walioshindwa, kuchekwa, linapoanza, tulivosema, wanaovunja, wakisaidiwa, mbalimbali, yaliyouawa, kufanikiwa, walioacha, hushindwa, kuwashauri, walishindwa, waweze, tushindwe, kiasili, anapenda, mafanikio, maanguko, inapodumu, huona, fahari, furaha, ikivunjika, wajikaze, inavyowaangalia, uhisi, mapungufu, huumia, wanayopata, walivyotegemea, asikudanganye, akasherehekea, walioachika, usoni, nyoyoni, wanaumia, halina, mjadala, walipofunga, walihuzunika, kufurahi, liko, inakuwaje, washerehekee, suluhisha, migogoro, mingi, zikivunjika, tumejifunza, makuu, manne, uzoefu, tunachoweza, wanaojenga, waidumishao, kuibomoa, wanapofunga, hufikia, uamuzi, shuruti, huwategemea, huigeuza, klabu, huwaruhusu, wasiohusika, kujihusisha, husahau, ikidumu, wanufaika, waliowahusisha, tujuacho, majaliwa, wanafungapo, wanachofanya, kujihisi, matendo, kutodumu, mkusanyiko, wafungapo, kifo, kiwatenganishe, wasemayo, wakristo, hatujui, hawatamki, kutamkiana, tunaamini, wanaofunga, huvunjika, fupi, halija, tusiwacheke, kuwahukumu, watalaka, tuesday, naongelea, najiandaa, natunga, fyatuzi, plizi, usisome, mnaochukia, siwalazimishi, kuipenda, samaki, kunyamaa, bora, usijue, uwafyatuao, alaye, kimyakimya, alewaye, akapayuka, visivyofyatulia, mbili, tukijihadaa, tunawahadaa, tutaanza, twapaswa, mbadala, tukiishi, tusijue, tutalipa, hatuwaelezi, tuliishi, alitujalia, raslimali, mayai, akaishi, nafaa, kavu, isiyo, virutubisho, tumuone, aishie, kuangusha, miti, magogo, hana, kibanda, ubavu, anazidiwa, usiojaa, kijiko, nyuni, hujenga, kiota, akautononoa, usingizi, vifaranga, mamba, humeza, kiingiacho, hula, asichozalisha, asichokula, akumbatiaye, ukuku, akijiona, muumini, mchungu, masihara, tunaacha, mipango, ipi, inayoingia, tunaachaje, upigaji, matumizi, kakinukisha, ghuba, likapanda, kuadimika, kwenda, jando, unyago, kulindana, inapopigwa, wapigaji, tunachapa, kuchapa, soga, nasi, tubadilike, kubadilika, matamko, yasiyoingia, chawa, funza, tisa, inakuwajekuwaje, anafyatua, visivyoingia, anamfyatua, kupe, kusimama, damu, wamegoma, kunyonywa, tunaambwa, nane, tukiwakamia, kuwandia, tujiulizwe, anamwendea, mtoa, mpokea, ama, wahenga, walisema, shibe, malevya, malegeza, hawafyatuki, wapaswao, kuamini, upupu, utokanao, ulevi, walaji, waliwaji, aishiye, atanya, kufuruhisha, kijiwe, ataramba, matapishi, aliyewahi, kubweka, akahoji, wasiohojiwa, asijue, wanaowafyatua, jeuri, tegemezi, wapewa, wakaifuja, waitoawao, kapitwa, abadilike, yalosemwa, mikakati, kuongopa, unapokosa, mashiko, ushawishi, kukinzana, wanaozaliana, hawana, nitawalisha, naomba, fikirishi, tunduizi, yasiyo, utundu, yalitoka, moyoni, kuwazingua, kuwazuga, wabebao, zigo, kutofikika, kushikika, nahitaji, sitaweza, kuwatawala, unyenyekevu, amelijua, sikuamini, mja, aweza, mnyama, mdudu, kujijibu, juha, aliyejihisi, kuzingatia, kuruka, alitaka, mishemishe, aliona, alijaribu, kukwea, mgomba, azinyakue, kuzifaidi, asifue, dafu, zilikuwa, nilimsikia, aliyenikumbusha, jikumbushe, rumba, madilu, waliosoma, enzi, mchonga, upe, uholela, abla, kutongoa, nakusihi, tuchangamkie, yaliyojadiliwa, utambulisho, kimombo, ukiyapuuza, hayatakupuuza, psyche, tunamaanisha, tuuafanyayo, tumeyarithi, tumeyaamini, kuvidharau, kuvipuuza, vina, kujisahaulisha, tufanikishe, kujieweka, unayolenga, ujiulize, yanafanana, kwendana, mwenzangu, yako, safari, wasafiri, ukaribu, waelekee, kushuka, kituo, tujue, linafanyika, tarajio, unapoamua, ndoto, unavyolenga, kutimiza, utafiti, chuang, capellan, wanasisitiza, tusidharau, kuisahau, jigorafia, mojawapo, isiyoepukika, athari, fichi, fikiria, mgogo, mnyanturu, mrangi, msukuma, arusha, karatu, lushoto, manyara, mbeya, baridi, joto, kazaliwa, kukulia, tambarare, ukame, vuu, miinuko, kijani, vito, mahali, vaa, ungejisikiaje, popote, akiamua, kufaniksiah, kutofanikisha, tumejikuta, tukizaliwa, tulipo, unapokwenda, wanaoungana, anakotoka, mazingara, huathiri, kiwango, kikubwa, tunapokuwa, maeneo, kuzuia, mazingira, pinzani, changamoto, mkristo, muislam, haruhusiwi, ambadili, wanaojua, jinsi, zilivyojikita, wabishi, tunawashauri, watarajiwa, waliomo, kulizingatia, zinachukiana, kushindana, kutafuta, kujipatia, kipato, uhalali, waliozipokea, hujikuta, wahanga, hayawafai, haiepuki, hatupendi, yanaingilia, tukiri, hapakosi, migawanyiko, ubaguzi, kidini, udini, nyeti, tata, zilizopokea, zimetugawanya, tunajitahidi, shwari, kugusia, kujadili, masuala, yafuatayo, ndoahatukuyajadili, tunarejerea, hatukuzama, isitoshe, anayesahau, kirahisi, hatujawahi, kuyagusia, upekee, kuhisiana, wanatarajiwa, hawajingia, kutoyazingatia, ziwe, makusudi, kufikiria, watanifanya, bangi, udhu, wakijua, nafaidi, wasiendelee, kuyafanya, wakawatafute, wasiowajua, wanaoyapenda, kutojiamini, hawatafanikiwa, mkenge, wakome, kabisa, siyapendi, kuyahitaji, wanavyofanya, wanaonizeesha, vyetu, bibi, hamuwajui, madingi, nendeni, kaulize, waliowazaa, wawambie, kunipakazia, uzinzi, jikombaji, ilivyo, nikachia, mtaendelea, mtupu, mnanifanya, hamnazo, kipofu, siwezi, wanaoniita, wazee, niliwazaaje, walizaliwa, sijazaliwa, kawatafute, majuha, muwaite, nimechoka, kikumbaff, wapendao, kunipogeza, kusifiwa, napongezwa, nikipiga, chafya, yanifanya, niwe, yananifanya, tajiri, ilon, musk, mbaguzi, madiba, aliyeukata, joji, kichaka, lisrikal, likitimiza, huduma, nasifiwa, inayotumika, utayasikia, yakisema, mheshimiwa, mpendwa, lile, natumia, nazipiga, sorry, nazitunza, wanaopenda, mnaiombia, niombewe, mnajiombea, mnaniombea, haombewi, najiombea, kuombewa, midhambi, inayonuka, jiombeeni, kuwapiga, kuwahangaisha, nyambaff, wakubwa, madhambi, yanayojitia, yanatenda, dhambi, uchao, mauza, mazinzi, maongo, mafitini, yananiombea, mnadhani, sijawaombea, muungue, hai, vyeti, feki, kuzawadiwa, kimchongomchongo, maya, liliogopa, umande, linanunua, kujiita, daktari, mnaujua, kuupata, huo, udaktari, unawasumbua, ninazo, kusotea, makandokando, yanayonuka, linanuka, yajapo, maadili, nifumbie, mmenoa, mtaishia, kuula, chuya, mjizi, inayonisifusifu, inadhani, nayaona, mitandao, yakijikomba, niyape, iliyokwisha, retire, kuexpire, ile, mivivu, iliyokosa, ikashikilia, umdudu, ushamba, najifanya, siyanyaki, nayanyaka, kuyanyamazia, acbeni, kujificha, kunisifiasifia, sisifiki, hamjui, wanaowatumia, ambvyo, bado, vimevaa, dipers, kujigonga, kujipendekeza, kamchezo, haka, kifwala, kukwezwa, nisizo, zembe, linataka, kunipa, mtanisifu, nikiachia, ngazi, uni, kugeuza, hamjakomolewa, niliona, kitetemezi, nene, likinisifu, kumpa, acheni, visome, majina, ukoo, kunipongeza, ajili, mchezo, msipoangalia, msiendekeze, wanatumia, bedroom, kunivisha, kiremba, ukoka, wanaboronga, wanajigonga, waendelee, kunigeuza
Text of the page (random words):
tunaeleweka kwanini msilainishane ili wote mpate mkitakacho kila mnachofanyiana kinachokubalika ni haki kwenu sawia kadhalika kila mnachonyimana ni dhuluma sawia chanzo mwananchi jpli juzi posted by ndugu nkwazi n mhango at 15 11 no comments saturday 11 july 2026 letter to muhoozi on media blackouts m uhoozi before saying something i must remind that you re now the most powerful person in uganda this ugandans need to know and accept due to the frailty of your father who gave you power to act at will ugandans need to know that your father is uganda and uganda is your father and you re the most powerful son of the most powerful man in uganda ugandans must know and accept that you are one of the most powerful sons of presidents in the world who use their fathers power to rule like father like son the sage has it this is the time you he who avenges or revenges decided to shut down the media to avoid contaminating the minds of good ugandans this aims to save some of earthlings from the ennui of a long time ruler who happens to be one of your makers i warn the media to stop doing things the way the like or deem fit as if it does not know who is above the law in the nation you know what i mean another thing i congratulate you on is the fact that you re now preparing ugandans psychologically for transitions shall anything undesirable however natural god forbid happen to your great dad who gave you all of his power to rule on his behalf without necessarily abdicating the throne dear muhoozi congrats on putting your opponents on notice yep you started to bite at the power that your dad s been eating on for long because of your significance and that what you want everybody to know and made do with you wanted to show the world who is boss no joke you re not joking did you mean business or you re just looking the way take a bite on power and come out of the political closet this for me shows your significance as the son of the most powerful man in uganda as the most powerful son of the president over the insignificance of the rest that can be taken for a ride the twosome of without forgetting your mother are the most powerful people uganda s ever had let ugandans know that your trinity s unshakably intact and unique since you ve made uganda what it s today rich for them and poor for the rest let them know that you still have a lot to offer and ugandans must wait for more surprises from this trinity dear good general underscoring your greatness and significance i propose that next time you blackout the media all uganda s pro regime media must report and all ugandans must support you by subscribing to your tweeter account i propose that your tweets must be made breaking news in all ugandan media i know those who don t like you dear good general will wag tongues thinking i m trying to get a mileage out of this assertion or i might have been paid to say this nope what i m saying is as simple as that i know those who don t know the importance of the first family you the mother general and the father general and brothers in law wrongly think that their lives are adversely impinged on with uncertainties regarding the good actions you take go figure guys who are you in uganda who bewitched or cheated you not to get it dear general when the story of your rebuke to the media a friend sent me an email complaining about the uncertainties they d cause also he s concern about who s who in matters good governance good governance for whom i scolded him to stop being selfish evil and naïve since things have changed christians believe jesus died for their sins though they re told everybody to carry one s cross on the contrary politicians believe that citizens must die for them and their sins methinks this is the genesis for many african rulers to live larger than life while their taxpayers live in penury i told this gullible bloke to consider other related things such as the disturbances democracy s been causing in many african countries that tried it and ended up abusing it through vote rigging and tampering with constitutions to extend their time in office dear general methinks ugandans whether they like it or not should brace themselves to see you becoming their leader shall anything happen to your father this is simple to decipher when i consider your gruff rise in the army you can easily know what i mean also if you interrogate the reason s and the nuances behind your father s clinging unto power you ll be on the same page with me more so if you consider the powers your mom has behind the curtains you ll agree with my hypothesis to give those who pretend to deny the truth i want them to ask themselves as to why your tweets leave everybody shocked is the system testing the waters is it preparing ugandans psychologically for what s in the cards in the upper echelons of power wherein manipulations are one of bread and butter of its mainstay why have you become such important this time around let s get as serious as a seal instead of trying to screw over this rear up of your display what do you aim to achieve if not more power dear general in sum let me wish you a very spiffy mission of getting uganda rid of sinners like the media the swahili sage s it that clouds are the signs of rains hence what you re seeing with regards to your centrality is but the beginning if not the tip of the iceberg punishing the media is one leg in the waters the sage s it that if you can t beat them join them whether they like you or not they need to understand uganda s power dynamics especially after your dad came to power and altered everything to his advantage if he were able to prop up you so quickly that way in the military how can he fail to do so in the office of the president once again dear general you seem to brace yourself for big things big things come to big people that s my titbits of sagacity ring a ding ding nothing but posted by ndugu nkwazi n mhango at 08 41 no comments wednesday 8 july 2026 fyatu kuwafyatua wateule wajigongao na kujikomba wanatumia vitegemezi washirika wa bedroom kunivisha kiremba cha ukoka wanaboronga halafu wanajigonga na kujikomba kwangu ili waendelee kunigeuza bunga huwa sipendi sifa mie ni fyatu siyo mungu wala muungu wafuatao wajiandae kufyatuliwa wote mosi wapo matapeli na mazwazwa wanaowatumia ndugu zao hata vitegemezi vyao ambvyo bado vimevaa dipers kisiasa kujigonga na kujipendekeza kwangu wasijue sipendi kamchezo haka ka kitapeli na kifwala sitaki kukwezwa wala kupewa sifa nisizo kuwa nazo unakuta jitu zembe hata kufikiri eti nalo linataka kuniingiza cha kike kwa kunipa sifa za kipuuzi mtanisifu nikiachia ngazi a uni kugeuza bunga na zwazwa kama nyinyi mkome na kukomaa kabla hamjakomolewa juzi niliona kitetemezi cha zwazwa moja nene mtandaoni eti likinisifu kwa kumpa ulaji dingi wake acheni vitegemezi visome na kujitegemea na siyo kutegemea majina ya ukoo eti linanisifia na kunipongeza kwa ajili ya dingi wake komeni huu mchezo ambao ni balaa kwa kaya kesho msipoangalia msiendekeze njaa na uzwazwa kana kwamba hakuna kesho pili mafisadi mafisi na majambazi ya kisiasa wenye makandokando yanayonuka na kuwaumiza mafyatu tena kwa kupiga njuluku yao ndefu utakuta fyatu linanuka uchafu wa kila aina yajapo maadili halafu eti linanisifia ili nifumbie macho uchafu na ukatili wao kwa mafyatu wangu walio wengi mmenoa na mtaishia kuula wa chuya hii mjizi na mijambazi inayonisifusifu inadhani sijui mazabe yake nayaona mengi kwenye mitandao ya kijamii yakijikomba kwangu ili niyape uteuzi mengi utakuta ni mifyatu iliyokwisha retire na kuexpire ukiachia ile mivivu ya kufikiri iliyokosa ubunifu ikashikilia umdudu ushamba na uzwazwa japo nimekuwa najifanya siyanyaki haya machezo nayanyaka na kuyanyamazia kwa muda acbeni ujambazi na wizi na siyo kujificha kwenye kunisifiasifia sisifiki wala sipendi sifa kama wale wapenda sifa uchwara hamjui kuwa kupenda sifa ni aina fulani ya ugonjwa wa akili na utumwa licha ya kuwa uzwazwa tatu wenye shahada vyeti feki na za kununua au kuzawadiwa kimchongomchongo hawa nina maya nao hakuna mfano unakuta jitu liliogopa umande halafu linanunua phd na kuanza kujiita daktari mnaujua ugumu wa kuupata huo udaktari au ni uzwazwa unawasumbua phd siyo ya kila mmoja bali wachache kama mie fyatu mfyatuzi ambaye ninazo magunia tena za kusotea siyo kununua au kupewa nne wanaopenda eti kuniombea mnaiombia kwani mie maiti hadi niombewe au mnajiombea kwa kujifanya mnaniombea hapa haombewi fyatu kama kuomba najiombea mwenyewe siko tayari kuombewa na mifyatu yenye midhambi inayonuka hakuna mfano kama kuomba dili basi jiombeeni kwanza niache kuwapiga na kuwahangaisha nyambaff wakubwa nyie utakuta haya yenye magunia ya madhambi yanayojitia kuniombea yanatenda dhambi kila uchao yapo mauza mihadarati mazinzi maongo mafitini na kila balaa halafu eti yananiombea mnadhani sir god ni zwazwa kama nyinyi mkome kabla sijawaombea muungue mkiwa hai tano wapendao kunipogeza hata kwa upuuzi mbali na kusifiwa napongezwa hata nikipiga chafya haya mazwazwa yanifanya niwe na uwezo wa ajabu yananifanya tajiri kuliko hata ilon musk yule mbaguzi wa kwa mzee madiba aliyeukata kule kwa joji kichaka lisrikal langu likitimiza wajibu wake kama vile kutoa huduma za kijamii nasifiwa mimi kana kwamba njuluku inayotumika ni yangu utayasikia yakisema mheshimiwa mpendwa na msikivu sana fyatu amefanya hili au lile komeni natumia njuluku za mafyatu ambazo nyingine nazipiga sorry nazitunza sita wanaonizeesha kwa kuniita dingi yao fyatu ni dingi wa vitegemezi vyetu na bibi mkubwa siyo dingi wa wote kama hamuwajui madingi zenu nendeni kaulize waliowazaa wawambie kuliko kunipakazia uzinzi wa kuzalisha kila jikombaji tapeli na zwazwa kama ilivyo kwenye sifa za kipuuzi nikachia ulaji mtaendelea kuniita dingi wenu unafiki na utapeli mtupu kwani mnanifanya mie hamnazo au kipofu ambaye siwezi kujua wala kuona wengi wa wanaoniita dingi wao ni wazee kuliko mimi niliwazaaje wakati walizaliwa kabla sijazaliwa kama kuwa dingi wa kila fyatu ni dili basi kawatafute wapenda sifa majuha na mazwazwa muwaite dingi zenu nimechoka na sifa hizi za kikumbaff sasa nimalizie nawashauri wote wanaofanya hayo hapo juu wajue mosi siyapendi wala kuyahitaji hayo machukizo na usanii wanavyofanya kwa namna yoyote pili hayatawasaidia kwa vile hawatafanikiwa kuniingiza mkenge kizwazwa hivi hivyo wakome kabisa tatu najua kila machezo yote hivyo wasiendelee kufanya hayo kwangu hayatawasaidia zaidi ya kuwaumiza kama wana ugonjwa wa kuyafanya hayo nawashauri wakawatafute wasiowajua na wanaoyapenda tokana na kukosa sifa na kutojiamini mie ni bonge la msomi tena profesa wa kweli nne mimi siyo mungu wala muungu bali fyatu wa kawaida mwenye udhu hakuna duniani hivi wakijua ukweli kuwa huwa nafaidi sifa watanifanya nini kumbe bangi chanzo mwananchi jtano jana posted by ndugu nkwazi n mhango at 21 45 no comments vitu muhimu kufikiria kabla ya ndoa j apo tumewahi kugusia kwa mbali na kwa ufupi kudurusu kujadili masuala yafuatayo kuhusiana na ndoa hasa mambo muhimu kudurusu na kujua kabla ya kuamua kufunga ndoahatukuyajadili kwa undani sasa tunarejerea tunafanya hivyo kwa kujua wazi kuwa hatukuzama sana isitoshe binadamu ni kiumbe anayesahau kirahisi hivyo leo tutadurusu baadhi ya mambo ambayo hatujawahi kuyagusia kwa undani na upekee kuhisiana na ndoa hasa kwa wanandoa ambao wanatarajiwa au hawajingia kuingia kwenye ndoa haya mambo ni ya kawaida ila muhimu sana hivyo ni bahati mbaya na kawaida kutoyazingatia tokana na sababu mbali mbali ziwe za bahati mbaya au makusudi tuanze na dini japo hatupendi kuingilia mambo ya dini japo nayo yanaingilia mambo ya wengine tukiri katika maisha hasa ya ndoa huwa hapakosi migawanyiko ubaguzi wa kidini au udini na mengine kama hayo dini ni suala mtu binafsi tena nyeti na tata kwa jamii zilizopokea dini za kimapokeo ambazo zimetugawanya sana japo tunajitahidi kuficha kana kwamba kila kitu ni shwari mosi dini zote za kimapokeo zinachukiana na kushindana kutafuta wafuasi ili kujipatia kipato na uhalali hivyo kwa waliozipokea hujikuta wakiwa wahanga hata kwa mambo ambayo si hawajui tu bali hata hayawafai ndoa pia haiepuki mambo haya pili dini husika licha ya kuzuia au kuweka mazingira magumu kwa wafuasi wake kuoa au kuolewa na wafuasi wa dini pinzani ni changamoto kubwa tu mfano mkristo au muislam haruhusiwi kumuona kuoa asiye wa dini yake hadi ambadili dini kwa wanaojua jinsi dini zilivyojikita kwa wahusika kwa watu wa kawaida wasio wabishi hili jambo ni gumu japo linawezekana tokana na ugumu na unyeti hata utata wake tunawashauri watarajiwa waliomo kwenye dini tofauti kulizingatia hili kwa makini kabla ya kufunga ndoa tatu japo binadamu ana uwezo wa kuishi popote akiamua jiografia ina mchango mkubwa katika kufaniksiah au kutofanikisha hili hii maana yake ni kwamba tumejikuta tukizaliwa tulipo bila kupanga wala kuchagua hivyo kabla ya kuamua kuoa au kuolewa ni vizuri kujua jiografia ya unapokwenda kuishi kwa wale wanaoungana na wenzao au mwenzio anakotoka hii ni kwa sababu jiografia na mazingara yetu huathiri kwa kiwango kikubwa mila na tabia zetu tunapokuwa kwenye maeneo tofauti katika utafiti waliofanya chuang na capellan 2025 wanasisitiza kuwa tusidharau au kuisahau jigorafia kwenye ndoa kama sehemu mojawapo ya maisha isiyoepukika kwani ina athari japo fichi kwenye ndoa hebu fikiria mgogo mnyanturu mrangi au msukuma anajikuta arusha karatu lushoto manyara au mbeya kwenye baridi tofauti na kwao kwenye joto mbali na hiyo mhusika kazaliwa na kukulia kwenye tambarare na ukame ghafla bin vuu anajikuta kwenye miinuko na milima yenye kijani na vito kila mahali vaa viatu vyake ungekuwa wewe ungejisikiaje nne tujue hakuna jambo ambalo linafanyika bila malengo ndoa kadhalika ina malengo na matarajio ya muda au ya kudumu ndoa si jambo wala tarajio la muda bali la kudumu unapoamua kuoa au kuolewa lazima uwe na malengo matarajio na ndoto unavyolenga kukamilisha na kutimiza tano tunaweza kujidanganya na kujisahaulisha ili tufanikishe mambo yetu baada ya kujieweka malengo unayolenga kukamilisha lazima ujiulize swali moja kuu je haya malengo yangu yanafanana au kwendana na malengo ya mwenzangu hapa lazima ujue malengo ya mwenzako ambaye pia anapaswa kujua yako ndoa ni safari ya maisha lazima wawili wasafiri pamoja kwa ukaribu pia lazima waelekee upande mmoja na kushuka kwenye kituo kimoja sita kuna suala hili la mila hapa tunamaanisha imani na mambo ambayo yote madogo na makubwa tuuafanyayo kwa sababu ima tumeyarithi au tumeyaamini kama vile mila za asili na dini za kimapokeo mara nyingi huwa tunafanya mambo haya bila hata kufikiri wala kujua japo tunaweza kuvidharau au kuvipuuza vitu hivi vina mchango mkubwa katika maisha ya ndoa tumalizie yaliyojadiliwa hapa ni muhimu katika maisha ya binadamu kwa sababu ni sehemu yake iwe utambulisho au hisia zake za ndani au psyche kwa kimombo hivyo ukiyapuuza hayatakupuuza chanzo mwananchi jpili juzi posted by ndugu nkwazi n mhango at 21 25 no comments thursday 2 july 2026 tuchangamkie misaada dunia imebadilika kkkk k abla ya kutongoa nakusihi ...
|