Meta tags:
Headings (most frequently used words):
ya, kiswahili, wiki, wikipedia, mwanzo, kamusi, elezo, je, wajua, makala, picha, nzuri, takwimu, jumuia, za, wikimedia, kwa, lugha, nyingine,
Text of the page (most frequently used words):
kwa (32), wikipedia (21), makala (20), lugha (16), zaidi (15), ukurasa (11), #kiswahili (11), katika (11), papa (11), kamusi (10), kwenye (10), elezo (8), idadi (8), mara (7), hapa (7), wikimedia (7), tarehe (6), wiki (6), angalia (6), kila (6), mwanzo (5), takwimu (5), kutoka (5), baadhi (5), 000 (5), cha (5), huru (5), mbalimbali (5), kati (5), siku (5), hadi (5), tanzania (5), rais (5), kwanza (5), ili (5), tafuta (4), huu (4), bahasa (4), jamii (4), afrika (4), zenye (4), kiingereza (4), miradi (4), michango (4), fungua (4), mwaka (4), asilimia (4), wako (4), watumiaji (4), oktoba (4), kama (4), wote (4), mtu (4), upande (4), dini (4), historia (4), kwamba (4), kuhusu (3), chini (3), mengine (3), commons (3), sesotho (3), english (3), norsk (3), basa (3), nyingine (3), 100 (3), kiitalia (3), bofya (3), zote (3), jumuia (3), ambalo (3), ambayo (3), pamoja (3), mradi (3), jina (3), mwezi (3), jumla (3), kurasa (3), aprili (3), alikuwa (3), tangu (3), mkuu (3), baada (3), dunia (3), akiwa (3), nyerere (3), yake (3), soma (3), yohane (3), paulo (3), wake (3), kuwa (3), kuliko (3), mapapa (3), nchi (3), akaunti (3), ficha (3), hamishia (3), mwambaa (3), zana (3), 347 (2), taarifa (2), sera (2), maandishi (2), matakwa (2), maelezo (2), mwisho (2), 2025 (2), saa (2), hariri (2), viungo (2), isizulu (2), yorùbá (2), isixhosa (2), wolof (2), tiếng (2), việt (2), tshivenda (2), українська (2), twi (2), chitumbuka (2), xitsonga (2), türkçe (2), setswana (2), ትግርኛ (2), svenska (2), siswati (2), soomaaliga (2), chishona (2), slovenčina (2), sängö (2), русский (2), română (2), português (2), polski (2), oromoo (2), chi (2), chewa (2), bokmål (2), nederlands (2), malagasy (2), luganda (2), коми (2), gĩkũyũ (2), karai (2), taqbaylit (2), 日本語 (2), italiano (2), indonesia (2), magyar (2), hausa (2), français (2), suomi (2), español (2), esperanto (2), deutsch (2), dansk (2), català (2), batak (2), bamanankan (2), беларуская (2), አማርኛ (2), afrikaans (2), abstract (2), kuanzisha (2), kiesperanto (2), kiukraina (2), kirusi (2), kireno (2), kifaransa (2), kihispania (2), kijerumani (2), 340 (2), kuona (2), orodha (2), kamili (2), bure (2), elimu (2), wikisource (2), mkusanyiko (2), wikitabu (2), wikamusi (2), meta (2), picha (2), mingine (2), sasa (2), foundation (2), mtumiaji (2), kipindi (2), unaweza (2), wasomaji (2), milioni (2), 483 (2), agosti (2), mnamo (2), waliojiandikisha (2), kuchangia (2), majadiliano (2), msaada (2), 108 (2), 036 (2), butiama (2), london (2), 1999 (2), aliongoza (2), tanganyika (2), uhuru (2), 1985 (2), kijamii (2), umoja (2), kuendeleza (2), ungependa (2), huyu (2), ziara (2), huduma (2), petro (2), benedikto (2), xvi (2), heri (2), mei (2), kipolandi (2), kilatini (2), wojtyła (2), leo (2), hiyo (2), waliomtangulia (2), karne (2), nchini (2), kanisa (2), ule (2), kuanzia (2), hasa (2), sababu (2), chake (2), wakati (2), polandi (2), yoyote (2), kifo (2), john (2), hifadhi (2), mashariki (2), anaweza (2), kuhariri (2), kuandika (2), karibu (2), jumuiya (2), kitabu (2), mandhari (2), wikidata (2), mabadiliko (2), chanzo (2), ingia (2), unda (2), menyu (2), kuu (2), weka, mada, mtazamo, rununu, kuki, watengenezaji, kanuni, maadili, kanusho, faragha, yanapatikana, leseni, yanaweza, kutakiwa, tazama, utumiaji, creative, attribution, sharealike, license, ulitolewa, parsoid, umebadilishwa, septemba, 閩南語, bân, lâm, ⵜⴰⵎⴰⵣⵉⵖⵜ, ⵜⴰⵏⴰⵡⴰⵢⵜ, zeêuws, vahcuengh, ייִדיש, მარგალური, хальмг, winaray, walon, volapük, west, vlams, vepsän, kel, vèneto, oʻzbekcha, ўзбекча, اردو, ئۇيغۇرچە, uyghurche, удмурт, тыва, дыл, reo, tahiti, татарча, tatarça, seediq, tok, pisin, toki, pona, lea, faka, tonga, tolışi, tagalog, türkmençe, ትግሬ, ไทย, тоҷикӣ, tetun, తెలుగు, ᥖᥭᥰ, ᥖᥬᥲ, ᥑᥨᥒᥰ, ತುಳು, tayal, தமிழ், sakizaya, ślůnski, ꠍꠤꠟꠐꠤ, sunda, seeltersk, sranantongo, српски, srpski, shqip, anarâškielâ, gagana, samoa, slovenščina, سرائیکی, simple, සිංහල, တႆး, taclḥit, srpskohrvatski, српскохрватски, davvisámegiella, سنڌي, scots, sicilianu, sardu, ᱥᱟᱱᱛᱟᱲᱤ, саха, тыла, संस्कृतम्, ikinyarwanda, русиньскый, руски, tarandíne, armãneashti, ikirundi, romani, čhib, rumantsch, ရခိုင်, runa, simi, pinayuanan, پښتو, nawat, ποντιακά, پنجابی, piemontèis, पालि, pälzisch, deitsch, naijá, picard, papiamentu, kapampangan, pangasinan, ਪੰਜਾਬੀ, ирон, ଓଡ଼ିଆ, livvinkarjala, occitan, diné, bizaad, nupe, leboa, nouormand, isindebele, sesewula, ߒߞߏ, novial, nynorsk, niha, नेपाल, भाषा, नेपाली, plattdüütsch, nedersaksies, napulitano, nāhuatl, مازِرونی, эрзянь, မြန်မာဘာသာ, mirandés, malti, melayu, кырык, мары, मराठी, moore, ဘာသာမန်, ꯃꯤꯇꯩ, ꯂꯣꯟ, монгол, മലയാളം, македонски, minangkabau, māori, олык, марий, мокшень, banyumasan, मैथिली, madhurâ, latviešu, latgaļu, lietuvių, ລາວ, lingála, lombard, ladin, ligure, limburgs, lingua, franca, nova, лезги, лакку, lëtzebuergesch, ladino, latina, кыргызча, kernowek, kʋsaal, kurdî, ripoarisch, کٲشُر, къарачай, малкъар, перем, 한국어, yerwa, kanuri, ಕನ್ನಡ, ភាសាខ្មែរ, kalaallisut, қазақша, kumoring, kongo, tyap, kabɩyɛ, адыгэбзэ, jju, qaraqalpaqsha, ქართული, jawa, lojban, patois, ᐃᓄᒃᑎᑐᑦ, inuktitut, íslenska, ido, гӏалгӏай, ilokano, iñupiatun, igala, igbo, interlingue, jaku, iban, interlingua, արեւմտահայերէն, հայերեն, kreyòl, ayisyen, hornjoserbsce, hrvatski, fiji, hindi, हिन्दी, עברית, hawaiʻi, 客家語, hak, ngî, gaelg, gungbe, farefare, wayuunaiki, ગુજરાતી, ghanaian, pidgin, 𐌲𐌿𐍄𐌹𐍃𐌺, hulontalo, गोंयची, कोंकणी, gõychi, konknni, avañe, گیلکی, galego, gàidhlig, kriyòl, gwiyannen, gagauz, gaeilge, frysk, furlan, nordfriisk, arpetan, fɔ̀ngbè, føroyskt, vosa, vakaviti, võro, fulfulde, mfantse, فارسی, estremeñu, euskara, eesti, emiliàn, rumagnòl, ελληνικά, eʋegbe, ཇོང, ދިވެހިބަސް, डोटेली, kadazandusun, dolnoserbski, zazaki, thuɔŋjäŋ, dagaare, dagbanli, cymraeg, чӑвашла, словѣньскъ, ⱄⰾⱁⰲⱑⱀⱐⱄⰽⱏ, kaszëbsczi, čeština, qırımtatarca, nēhiyawēwin, ᓀᐦᐃᔭᐍᐏᐣ, corsu, کوردی, tsetsêhestâhese, ꮳꮃꭹ, chamoru, cebuano, нохчийн, 閩東語, mìng, dĕ̤ng, ngṳ̄, chavacano, zamboanga, буряад, ugi, mandailing, bosanski, brezhoneg, বিষ্ণুপ্রিয়া, মণিপুরী, བོད, ཡིག, বাংলা, ပအိုဝ်ႏဘာႏသာႏ, banjar, bislama, भोजपुरी, български, betawi, тарашкевіца, bajau, sama, bikol, central, toba, žemaitėška, boarisch, bali, башҡортса, تۆرکجه, azərbaycanca, aymar, aru, अवधी, kotava, авар, atikamekw, asturianu, অসমীয়া, مصرى, الدارجة, ܐܪܡܝܐ, العربية, अंगिका, obolo, ænglisc, aragonés, pangcah, алтай, тил, alemannisch, адыгабзэ, acèh, main, page, аԥсшәа, rudishwa, https, org, index, php, title, oldid, 1456367, jinsi, mpya, oshiwambo, lingala, kirundi, kinyarwanda, kikongo, ìgbo, fulfude, ɛʋɛ, swahili, kimalagasi, kiafrikana, kislovakia, kidenmark, 250, kituruki, kiromania, kinorway, kihungaria, kifini, kiindonesia, česky, kicheki, kikatalunya, 500, kichina, kivietinamu, kiswidi, kipolishi, kiholanzi, kijapani, kiarabu, misri, ipo, habari, wikihabari, wikichuo, spishi, wikispishi, matini, vyanzo, asilia, wikichanzo, nukuu, huria, wikidondoo, vitabu, vya, miongozo, kufundishia, tesauri, uratibu, yote, ghala, nyaraka, sauti, iliyo, linasimamia, imeorodheshwa, hapo, mpaka, inayopatikana, imewekwa, lakini, bado, tupu, inapatikana, tofauti, shirika, lisilo, kiserikali, andika, sanduku, wanawiki, unachagua, zilizotazamiwa, fulani, topviews, anwani, browser, yako, ondoa, majina, yaliyopo, ingiza, unayopenda, kubadilisha, utakachoona, kabla, 2015, iliangaliwa, hivi, sawa, 251, 607, ongezeko, ukilinganisha, 2024, wetu, kenya, marekani, ulaya, kupata, namba, hai, muda, zilizopita, 210, wakabidhi, 031, 494, 952, 214, 705, 1922, baba, taifa, 1961, waziri, kisha, muungano, zanzibar, 1964, aliunda, iliweka, msisitizo, usawa, kitaifa, kustaafu, urais, aliendelea, kuishi, shughuli, kilimo, alifariki, kutokana, saratani, damu, kuzikwa, kusoma, ujamaa, kujitegemea, julius, mwalimu, machi, akisikiliza, maswali, nzuri, sikukuu, huadhimishwa, kulingana, kuanza, rasmi, kipapa, misa, iliyofanyika, uwanja, mbele, basilika, vatikani, alitangazwa, mwandamizi, mwenye, 2011, halafu, fransisko, akamtangaza, mtakatifu, 2014, anaongea, zikiwemo, kiserbokroatia, kigiriki, kale, alitangaza, wenye, watakatifu, kuwapa, wakristo, vielelezo, maisha, yao, walenge, utakatifu, walioitiwa, mungu, kubwa, ile, waliotangazwa, walau, tano, zake, 104, 129, ulimwenguni, kote, mbali, 146, italia, 317, parokia, roma, zilikusanya, nyingi, umati, mkubwa, huko, manila, ufilipino, mwishoni, mwa, kimataifa, vijana, kumfanya, asafiri, mmojawapo, viongozi, waliosafiri, aliboresha, uhusiano, katoliki, madhehebu, ukristo, uyahudi, ubudha, uislamu, vilevile, alilaumu, ubepari, magharibi, kudai, haki, akitetea, uhai, binadamu, wengi, wanamhesabu, watu, walioathiri, upapa, alipambana, ukomunisti, uliotesa, asili, nyinginezo, akachangia, kiasi, kikubwa, kikomo, kusambaratika, urusi, lake, kuzaliwa, lilikuwa, karol, józef, matamshi, ˈkarɔl, ˈjuzɛf, vɔiˈtɨwa, alimfuata, asiye, mwitalia, miaka, 455, iliyopita, mholanzi, adrian, 1522, 1523, tena, makabila, waslavi, alifuatwa, 264, 1978, akidumu, kirefu, wengine, isipokuwa, mtume, pius, alitokea, krakow, wadowice, 2005, 1920, paul, jan, paweł, giovanni, paolo, ioannes, paulus, teua, jifunze, aliapishwa, mtangulizi, pombe, magufuli, mwanamke, samia, hassan, suluhu, eneo, ndilo, lina, uchumi, unaokua, kasi, bara, aliyepata, naibu, katibu, mataifa, mwanasiasa, asha, rose, mtengeti, migiro, imepokewa, unesco, urithi, ngorongoro, wajua, kutoa, makosa, kutohoa, maneno, kukuza, ufupi, urefu, tunakushauri, ujiandikishe, ujifunze, unavyoweza, kusanifisha, usisite, kushiriki, ushirikiano, hautaisha, kamwe, itaimarika, vizuri, kung, amua, kufanya, kazi, zipi, kuboresha, msingi, mwongozo, kufungua, sahihi, ujenzi, tiba, teknolojia, sayansi, sanaa, jiografia, hisabati, biografia, unapenda, yetu, tuna, takriban, kuihariri, kifungu, wiktionary, wikimania, wikifunctions, wikispecies, multilingual, outreach, mediawiki, kuchapika, pakua, pdf, tunga, chapa, peleka, nje, switch, legacy, parser, pata, url, iliyofupishwa, taja, kiungo, daima, pakia, faili, husika, viungavyo, kijumla, vitendo, binafsi, maalumu, bahati, karibuni, urambazaji, nenda, yaliyomo,
Text of the page (random words):
wikipedia nenda kwa yaliyomo menyu kuu menyu kuu hamishia kwenye mwambaa upande ficha urambazaji mwanzo jumuiya mabadiliko ya karibuni ukurasa wa bahati msaada kurasa maalumu tafuta tafuta mandhari michango unda akaunti ingia zana binafsi michango unda akaunti ingia mwanzo ukurasa mkuu majadiliano kiswahili soma angalia chanzo fungua historia zana zana hamishia kwenye mwambaa upande ficha vitendo soma angalia chanzo fungua historia kijumla viungo viungavyo ukurasa huu mabadiliko husika pakia faili kiungo cha daima maelezo ya ukurasa taja ukurasa huu pata url iliyofupishwa switch to legacy parser chapa peleka nje tunga kitabu pakua kama pdf ukurasa wa kuchapika miradi mingine wikimedia commons wikimedia foundation mediawiki meta wiki wikimedia outreach multilingual wikisource wikispecies wikidata wikifunctions wikimania wiktionary wikidata kifungu mandhari hamishia kwenye mwambaa upande ficha kutoka wikipedia kamusi elezo huru karibu kwenye wikipedia kamusi elezo huru kila mtu anaweza kuihariri hadi leo tuna makala takriban 108 036 kwa kiswahili je unapenda kuona wikipedia yetu kama kitabu bofya hapa biografia dini hisabati historia jiografia jamii jumuiya lugha sanaa sayansi teknolojia tiba ujenzi kamusi elezo ya kiswahili karibu kwenye wikipedia ya kiswahili wikipedia ni mradi wa kuandika kamusi elezo kamili na sahihi ya maandishi huru kila mtu anaweza kuhariri makala yoyote kutoa makosa ya lugha kutohoa maneno na kuendeleza na kukuza makala kwa kuandika kwa ufupi au kwa urefu tunakushauri ujiandikishe na kufungua akaunti angalia wikipedia mwongozo ili ujifunze unavyoweza kuhariri au kusanifisha ukurasa usisite kushiriki kwa sababu huu ni mradi wa ushirikiano na hautaisha kamwe kamusi elezo itaimarika vizuri zaidi kila wakati angalia ukurasa wa jumuia ukurasa wa jamii na ule wa makala za msingi za kamusi elezo ili kung amua unaweza kufanya kazi zipi ili kuboresha wikipedia je wajua kutoka kwenye mkusanyiko wa makala za wikipedia kwamba hifadhi ya ngorongoro imepokewa katika orodha ya urithi wa dunia ya unesco kwamba asha rose mtengeti migiro ni mwanasiasa wa kwanza kutoka nchini tanzania aliyepata kuwa naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa kwamba eneo la afrika ya mashariki ndilo ambalo lina uchumi unaokua kwa kasi zaidi katika bara la afrika kwamba samia hassan suluhu ni rais wa kwanza mwanamke afrika ya mashariki aliapishwa kuwa rais mara baada ya kifo cha mtangulizi wake john pombe magufuli hifadhi jifunze kuanzisha makala teua makala makala ya wiki papa yohane paulo ii kwa kilatini ioannes paulus pp ii kwa kiitalia giovanni paolo ii kwa kipolandi jan paweł ii kwa kiingereza john paul ii 18 mei 1920 2 aprili 2005 alikuwa papa wa 264 kuanzia tarehe 16 oktoba 1978 hadi kifo chake akidumu katika huduma hiyo kirefu kuliko mapapa wengine wote isipokuwa mtume petro na papa pius ix alitokea wadowice krakow polandi alimfuata papa yohane paulo i akiwa papa wa kwanza asiye mwitalia tangu miaka 455 iliyopita wakati wa mholanzi papa adrian vi 1522 1523 tena papa wa kwanza kutoka polandi na makabila yoyote ya waslavi katika historia ya kanisa alifuatwa na papa benedikto xvi jina lake la kuzaliwa lilikuwa karol józef wojtyła matamshi ˈkarɔl ˈjuzɛf vɔiˈtɨwa wengi wanamhesabu kati ya watu walioathiri zaidi karne ya 20 hasa kwa sababu tangu mwanzo wa upapa wake alipambana na ukomunisti uliotesa nchi yake asili na nyinginezo akachangia kwa kiasi kikubwa kikomo chake na kusambaratika kwa urusi vilevile alilaumu ubepari wa nchi za magharibi na kudai haki katika jamii zote akitetea hasa uhai wa binadamu na uhuru wa dini upande wa dini aliboresha uhusiano kati ya kanisa katoliki na madhehebu mengine ya ukristo 11 pamoja na ule na dini mbalimbali kuanzia uyahudi ubudha uislamu ziara zake 104 kati nchi 129 ulimwenguni kote mbali na 146 nchini italia na 317 katika parokia za roma zilikusanya mara nyingi umati mkubwa hadi zaidi ya milioni 4 huko manila ufilipino mwishoni mwa siku ya kimataifa ya vijana na kumfanya asafiri kuliko jumla ya mapapa wote waliomtangulia akiwa mmojawapo kati ya viongozi wa dunia waliosafiri zaidi papa wojtyła alitangaza wenye heri 1 340 na watakatifu 483 ili kuwapa wakristo wa leo vielelezo mbalimbali kwa maisha yao ili walenge utakatifu walioitiwa na mungu idadi hiyo ni kubwa kuliko ile ya waliotangazwa na jumla ya mapapa wote waliomtangulia walau katika karne tano za mwisho alikuwa anaongea lugha mbalimbali zikiwemo za kipolandi kiitalia kifaransa kijerumani kiingereza kihispania kireno kiukraina kirusi kiserbokroatia kiesperanto kilatini na kigiriki cha kale yohane paulo ii alitangazwa na mwandamizi wake papa benedikto xvi kuwa mwenye heri tarehe 1 mei 2011 halafu papa fransisko akamtangaza mtakatifu tarehe 27 aprili 2014 sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 22 oktoba 26 kulingana na siku ya kuanza rasmi huduma yake ya kipapa kwa misa iliyofanyika katika uwanja mbele ya basilika la mt petro vatikani soma zaidi picha nzuri ya wiki ziara ya mwalimu nyerere wa tanzania mnamo machi 12 1985 rais nyerere akisikiliza maswali julius nyerere butiama 13 aprili 1922 london 14 oktoba 1999 alikuwa rais wa kwanza wa tanzania na baba wa taifa aliongoza tanganyika tangu uhuru mwaka 1961 kama waziri mkuu kisha baada ya muungano wa tanganyika na zanzibar mwaka 1964 aliongoza tanzania kama rais hadi 1985 aliunda sera ya ujamaa na kujitegemea ambayo iliweka msisitizo kwenye usawa wa kijamii elimu kwa wote na umoja wa kitaifa baada ya kustaafu urais aliendelea kuishi kwa kuendeleza shughuli za kijamii na kilimo na alifariki dunia kutokana na saratani ya damu tarehe 14 oktoba 1999 akiwa london na kuzikwa butiama je ungependa kusoma zaidi kuhusu mtu huyu au ungependa kuchangia zaidi kuhusu mtu huyu fungua hapa takwimu ya wikipedia ya kiswahili idadi ya makala 108 036 idadi ya kurasa zote 214 705 pamoja na kurasa za watumiaji majadiliano msaada n k idadi ya hariri 1 494 952 idadi ya watumiaji waliojiandikisha 87 031 idadi ya wakabidhi 14 idadi ya watumiaji hai 210 watumiaji waliojiandikisha na kuchangia katika muda wa siku 30 zilizopita bofya hapa kwa kupata namba za sasa takwimu ya wikipedia ya kiswahili kwa jumla katika mwezi wa agosti 2025 wikipedia ya kiswahili iliangaliwa mara milioni 7 79 hivi ambayo ni sawa na mara 251 607 kwa siku au mara 10 483 kila saa ambalo ni ongezeko la mara 4 5 ukilinganisha na mwaka 2024 mwezi wa agosti asilimia 52 za wasomaji wetu wako tanzania asilimia 13 wako kenya asilimia 18 wako marekani na mnamo asilimia 10 wako ulaya angalia idadi ya wasomaji kwa makala mbalimbali hapa kwenye takwimu za makala fungua anwani kwa browser yako ondoa majina yaliyopo na ingiza jina la makala hadi makala 10 unayopenda unaweza kubadilisha kipindi cha taarifa utakachoona takwimu kabla ya 2015 hapa na makala 100 zilizotazamiwa zaidi topviews kwa kipindi fulani unachagua kati ya makala 100 kwa mwezi au kwa siku michango ya wanawiki angalia hapa michango ya mtumiaji kwenye kila mradi wa wikimedia andika jina la mtumiaji kwenye sanduku jumuia za wikimedia kamusi elezo ya wiki ni kamusi elezo huru iliyo chini ya shirika lisilo la kiserikali la wikimedia foundation ambalo linasimamia miradi mingine mbalimbali ambayo imeorodheshwa hapo chini mpaka sasa miradi inayopatikana kiswahili ni wikipedia na wikamusi wikitabu imewekwa kiswahili lakini bado ni tupu mengine inapatikana kiingereza pamoja na lugha tofauti commons ghala ya nyaraka za picha na sauti meta wiki uratibu wa miradi yote ya wikimedia wikamusi kamusi na tesauri wikitabu vitabu vya bure na miongozo ya kufundishia wikidondoo mkusanyiko wa nukuu huria wikichanzo wikisource matini za vyanzo asilia kwa kiswahili wikispishi kamusi ya spishi wikichuo jumuia ya elimu wikihabari habari huru na bure wikipedia kwa lugha nyingine wikipedia kwa lugha nyingine wikipedia ipo katika lugha zaidi ya 340 bofya hapa kuona orodha kamili ya lugha zote za wikipedia baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 1 000 000 kiarabu cha misri deutsch kijerumani english kiingereza español kihispania français kifaransa italiano kiitalia 日本語 kijapani nederlands kiholanzi polski kipolishi português kireno русский kirusi svenska kiswidi українська kiukraina tiếng việt kivietinamu 中文 kichina baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 500 000 català kikatalunya česky kicheki bahasa indonesia kiindonesia suomi kifini magyar kihungaria norsk bokmål kinorway română kiromania türkçe kituruki baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 250 000 dansk kidenmark esperanto kiesperanto slovenčina kislovakia baadhi ya lugha zenye makala zaidi ya 100 000 afrikaans kiafrikana malagasy kimalagasi swahili kiswahili baadhi ya lugha nyingine za afrika አማርኛ bamanankan chi chewa chishona chitumbuka ɛʋɛ fulfude gĩkũyũ hausa ìgbo isixhosa isizulu taqbaylit kikongo kinyarwanda kirundi lingala luganda oromoo oshiwambo sängö sesotho setswana siswati soomaaliga ትግርኛ tshivenda twi wolof xitsonga yorùbá jinsi ya kuanzisha wikipedia kwa lugha mpya rudishwa kutoka https sw wikipedia org w index php title mwanzo oldid 1456367 jamii makala ya wiki lugha 347 аԥсшәа abstract abstract wikipedia main page acèh адыгабзэ afrikaans alemannisch алтай тил አማርኛ pangcah aragonés ænglisc obolo अंगिका العربية ܐܪܡܝܐ الدارجة مصرى অসমীয়া asturianu atikamekw авар kotava अवधी aymar aru azərbaycanca تۆرکجه башҡортса basa bali boarisch žemaitėška batak toba bikol central bajau sama беларуская тарашкевіца беларуская betawi български भोजपुरी bislama banjar ပအိုဝ်ႏဘာႏသာႏ bamanankan বাংলা བོད ཡིག বিষ্ণুপ্রিয়া মণিপুরী brezhoneg bosanski batak mandailing basa ugi буряад català chavacano de zamboanga 閩東語 mìng dĕ̤ng ngṳ̄ нохчийн cebuano chamoru ꮳꮃꭹ tsetsêhestâhese کوردی corsu nēhiyawēwin ᓀᐦᐃᔭᐍᐏᐣ qırımtatarca čeština kaszëbsczi словѣньскъ ⱄⰾⱁⰲⱑⱀⱐⱄⰽⱏ чӑвашла cymraeg dansk dagbanli deutsch dagaare thuɔŋjäŋ zazaki dolnoserbski kadazandusun डोटेली ދިވެހިބަސް ཇོང ཁ eʋegbe ελληνικά emiliàn e rumagnòl english esperanto español eesti euskara estremeñu فارسی mfantse fulfulde suomi võro na vosa vakaviti føroyskt fɔ̀ngbè français arpetan nordfriisk furlan frysk gaeilge gagauz 贛語 kriyòl gwiyannen gàidhlig galego گیلکی avañe ẽ गोंयची कोंकणी gõychi konknni bahasa hulontalo 𐌲𐌿𐍄𐌹𐍃𐌺 ghanaian pidgin ગુજરાતી wayuunaiki farefare gungbe gaelg hausa 客家語 hak kâ ngî hawaiʻi עברית हिन्दी fiji hindi hrvatski hornjoserbsce kreyòl ayisyen magyar հայերեն արեւմտահայերէն interlingua jaku iban bahasa indonesia interlingue igbo igala iñupiatun ilokano гӏалгӏай ido íslenska italiano ᐃᓄᒃᑎᑐᑦ inuktitut 日本語 patois la lojban jawa ქართული qaraqalpaqsha taqbaylit karai karai jju адыгэбзэ kabɩyɛ tyap kongo kumoring gĩkũyũ қазақша kalaallisut ភាសាខ្មែរ ಕನ್ನಡ yerwa kanuri 한국어 перем коми къарачай малкъар کٲشُر ripoarisch kurdî kʋsaal коми kernowek кыргызча latina ladino lëtzebuergesch лакку лезги lingua franca nova luganda limburgs ligure ladin lombard lingála ລາວ lietuvių latgaļu latviešu madhurâ मैथिली basa banyumasan мокшень malagasy олык марий māori minangkabau македонски മലയാളം монгол ꯃꯤꯇꯩ ꯂꯣꯟ ဘာသာမန် moore मराठी кырык мары bahasa melayu malti mirandés မြန်မာဘာသာ эрзянь مازِرونی nāhuatl napulitano nedersaksies plattdüütsch नेपाली नेपाल भाषा li niha nederlands norsk nynorsk norsk bokmål novial ߒߞߏ isindebele sesewula nouormand sesotho sa leboa nupe diné bizaad chi chewa occitan livvinkarjala oromoo ଓଡ଼ିଆ ирон ਪੰਜਾਬੀ pangasinan kapampangan papiamentu picard naijá deitsch pälzisch पालि polski piemontèis پنجابی ποντιακά nawat پښتو português pinayuanan runa simi ရခိုင် rumantsch romani čhib ikirundi română armãneashti tarandíne руски русский русиньскый ikinyarwanda संस्कृतम् саха тыла ᱥᱟᱱᱛᱟᱲᱤ sardu sicilianu scots سنڌي davvisámegiella sängö srpskohrvatski српскохрватски taclḥit တႆး සිංහල simple english slovenčina سرائیکی slovenščina gagana samoa anarâškielâ chishona soomaaliga shqip српски srpski sranantongo siswati sesotho seeltersk sunda svenska ꠍꠤꠟꠐꠤ ślůnski sakizaya தமிழ் tayal ತುಳು ᥖᥭᥰ ᥖᥬᥲ ᥑᥨᥒᥰ తెలుగు tetun тоҷикӣ ไทย ትግርኛ ትግሬ türkmençe tagalog tolışi setswana lea faka tonga toki pona tok pisin türkçe seediq xitsonga татарча tatarça chitumbuka twi reo tahiti тыва дыл удмурт ئۇيغۇرچە uyghurche українська اردو oʻzbekcha ўзбекча tshivenda vèneto vepsän kel tiếng việt west vlams volapük walon winaray wolof 吴语 хальмг isixhosa მარგალური ייִדיש yorùbá vahcuengh zeêuws ⵜⴰⵎⴰⵣⵉⵖⵜ ⵜⴰⵏⴰⵡⴰⵢⵜ 文言 閩南語 bân lâm gí 粵語 中文 isizulu hariri viungo ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 18 septemba 2025 saa 17 28 ukurasa ulitolewa kwa parsoid maandishi yanapatikana chini ya leseni ya creative commons attribution sharealike license matakwa mengine yanaweza kutakiwa tazama maelezo zaidi ya matakwa ya utumiaji sera ya faragha kuhusu wikipedia kanusho kanuni ya maadili watengenezaji takwimu taarifa ya kuki mtazamo wa rununu tafuta tafuta mwanzo lugha 347 weka mada
|